''Wasukuma walihamishwa kwa miguu kuelekea Mtwara, mtu alimnunulia mwanae raba mpaka anafika Tunduru zilikua zimechanika, leo serikali wanahamisha Wamasai kwa mabasi, Ng'ombe anapanda Lori anachokifanya Ngorongoro ni kitendo cha utu na wanahama kwa RAHA SANA - Lusinde 😁
@BambalaMasirik2@kigogo2014 JPM pesa hizo alikuwa anakopa benk gani? Na wakati mnasema alivunja mahusiano na mataifa, mjibu hoja zinazokhusu ndugai sio kumtajamtaja king of Africa,alioijenga Tanzania kwa mda mfupi, Kama mnataka kumgeza JPM karibuni tuone sio maneno meeengi vitendo Zoro,Sisi wabongo now tupo
@Hpolepole1 Yes tutafika tu kwa uwezo wa Mungu zidisha juhudi sio kazi rahisi kupata nafasi au kujirudia nafasi Tena mtu Kama Uncle R.i.p kwenye nchi yetu