kama mgombea uliyemnadi kashinda kwa 98%, why ulie kukosa support ya 2%? millions tunaambiwa walijitokeza kumpigia kura samia, si ndo huyu huyu wasanii hawa hawa walikuwa wanazunguka naye huku na kule kumnadi? hao hawatoshi kujaza matamasha? kuna ukweli hamtaki kusema. usemeni!
Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡
Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa wasanii na watu maarufu wa Tanzania wako busy na vibao kata hata kupaza sauti hawawezi 🚮
Ni uchungu kuona namna ambavyo angeweza kung’aa, lakini akasukumwa gizani na ukatili wa watu waliokataa kuona utu wake. Mungu azidi kumpa nguvu ya kuvumilia magumu anayopitia naaamini she will come back stronger 🙏❤️
#FreeNiffer
Binadamu akiwa anadai kitu anajua anastahili, ni Haki yake, anaweza akawa aggresive mpaka ukashangaa, na hatulii mpaka apate, haijalisha how long it takes.
Hiyo ni Hulka natural.
Niffer,
Tunasimama pamoja nawe kwa mshikamano usiotetereka katika kipindi hiki kigumu kwako. Ujasiri wako na kujitolea kusimamia ukweli, haki na utu vimekuwa hamasa kwa wengi nchini. Hakuna sauti inayotetea haki na utu wa Watanzania inayopaswa kufungwa au kunyamazishwa.
Mtu alikuwa ameshikiliwa na vyombo vya dola kipindi chote na wanataka kumshitaki kwa Ugaidi akiwa kwenye mikono yao!
Kaka yangu @HecheJohn angekuwa uraia si angepigwa risasi kabisa na hawa washenzi,
Mwisho unakaribia kwa hizi mbinu za samia na watu wake, wanajipeleka kaburini
Taarifa ya Wakili Hekima Mwasipu👇🏽
“John Heche amepewa tuhuma za mbili:
1. Kujihusisha na vitendo vya kigaidi kutoka Kimara mpaka Magomeni; na
2. Kujihusisha na vitendo vya Kigaidi maeneo ya Msewe na Extenal.”
Hajatoa maelezo.
Yuko rumande.
Tumuombee.
Tumuunge mkono.
Mshikamano aliooneshwa Lissu leo umempa tumaini kuu. Mliomkimbilia mmeingia rasmi ktk chumba cha historia ya maisha yake. Unapokuwa jela unahitaji watu, watu wanaoamini ktk uadilifu wako. I can confirm: Lissu amefurahi sana. Nami nawashukuru sana!