Mwaka 1961 hadi Aprili 2025 umeme wetu ni megawati 4,031.
Ndani ya miaka mitano ijayo tutazalisha megawati 4,000, hivyo kufikia megawati 8,000.
#MamaYukoKazini
πππππ ππππ πππ ππππ πππππ
Miaka minne iliyopita Mama ameajiri walimu wapya 39,000.
Ndani ya siku 100, anaanza kwa kuajiri walimu 7,000.
#Siku100zaSamia#MamaYukoKazini
Awamu ya Sita inapoanza kipindi cha pili, haya ni baadhi ya malengo makuu ya Serikali;
π Kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani.
π Kulinda amani, usalama na utulivu.
π Kuimarisha ustawi wa Watanzania.
π Kufungua fursa zaidi za ajira na biashara.
#MamaYukoKazini
Peaceful protestors burning down petrol stations, rape incidents, looting, cutting peopleβs fingers ππΎππΎ #TanzaniaπΉπΏ Some with heavy foreign accent. This was no normal protest. Tanzania was attacked. I hope all security organs get into the details.