Ukiona hawapo kwenye hatua zako, aidha wapo juu yako kubali kujifunza na kuanza moja kutafuta gia kubwa
Wakiwa nje ya mstari wako achana nao endelea na malengo yako✍️
1.Amua kwa ufasaha unachotaka
2.amini kwamba inawezekana na unastahili
3.uwe makini kila siku kufanikisha malengo
4.uwe na nidhamu
5.uwe tayari kulipa gharama
Yaliyobaki mwachie Mungu🙏
Kusifia sio sehemu ya kumsaidia mtu, bali yakupasa urahisishe njia yake aidha kwa kumwambia mapungufu yaliyopo au wewe kua sehemu ya kutatua changamoto zilizopo✍️