Jana tulipata heshima kubwa kuwapokea Mheshimiwa Waziri wa Wizara wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki katika makao makuu ya Halotel. Ikiwa ni mwendelezo wa Ziara yake ya kikazi kwa watoa huduma wa Mwasiliano.
#halotel
Tumerahisisha!
Endelea kufurahia kutuma pesa kwenda HaloPesa bila makato kwa uharaka na salama zaidi
Pakua HaloPesa App uendelee kuserereka kidigitali zaidi.
#HaloPesa#MiamalaChapChap
Endelea kujikonekti na uwapendao, ujisikie karibu zaidi na zaidi kwa kununua bando na vifurushi kupitia HaloPesa.
Piga *150 *88# chagua 3 Vocha na Vifurushi au Tumia HaloPesa App kuserereka zaidi.
#HaloPesa,Tumerahisisha