No matter how much you prepare, things wonβt always go as planned.
Thatβs life.
Pressure will hit.
Plans will break.
Unexpected problems will show up.
Thatβs why calmness under pressure is a skillβnot a trait.
Pressure doesnβt create character.
It reveals it.
Kama hakuna heshima hakuna haja ya kuwa na mahusiano
Kama hakuna uaminifu hakuna haja ya kuendelea
Kama hakuna ukweli hakuna haja ya kusikiliza
Kama hakuna mipango hakuna haja ya kuwa na malengo.
KUTOKA MTAANI,
Kwa asilimia flani ya wanawake wa Pwani na viunga vyake ikiwemo dar es salaam, inachangia kwa asilimia kubwa ongezeko la ushoga na mashoga.
Ila wanawake wa pwani na viunga vyake ikiwepo dar es salaam, wanawapenda wanaume kutoka kanda ya ziwa.
Mwanamke akiendelea kubaki na wewe kipindi unapitia changamoto,
Kama mwanaume, UMESHINDA
Mwanamke akikukimbia kipindi unapitia changamoto,
Kama mwanaume, UMESHINDA
Stay afraid, but do it anyway. Whatβs important is the action. You donβt have to wait to be confident. Just do it and eventually the confidence will follow.