@PresenterNoah Tumuache kocha afanyaje kaz yake kaka wala usishangae kuachwa kwa boko manula na chilunda kocha ndo kaamua iwe hivo hatakiw kuingiliwa kwenye kaz yake ๐ฆ๐ช
Kikosi cha wachezaji 20 ambacho kesho alfajiri kitaondoka nchini kwa ndege maalumu kwenda nchini Botswana ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa zaidi kwenye Simba App. #WenyeNchi#NguvuMoja
๐ 10 MILLION FOLLOWERS ๐
Asanteni watu wote kwa kutufikisha hapa. Endelea kuwa karibu na mitandao yetu kuwa wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi#NguvuMoja
Makocha wapya, kocha mkuu Abdelhak Benchikha, kocha msaidizi Farid Zemiti na kocha wa viungo Kamal Boudjenane wametembelea mazoezi ya timu ambayo yanafanyika Mo Simba Arena. #WenyeNchi#NguvuMoja
"Mafanikio yatajengwa na Wanasimba wote hilo ndio muhimu zaidi. Kwa wachezaji sitaangalia majina bali anayefanya vizuri, kiwango cha mchezaji ndio kitafanya nimtumie."- Kocha mkuu Abdelhak Benchikha. #WenyeNchi#NguvuMoja
"Kuna mambo mengi ambayo tayari nayajua na nimekuja na mikakati ambayo taifanyia kazi. Kuhusu wachezaji tajua zaidi nikishaanza kazi, kuhusu mashindano ya ndani na kimataifa yote ni muhimu. Mimi ni mpambanaji na nitapambana hadi tutafika."- Kocha mkuu Abdelhak Benchikha. #WenyeNchi #NguvuMoja
Kocha mkuu mpya Abdelhak Benchikha leo asubuhi amekutana kwa mara ya kwanza na benchi la ufundi.
Mtendaji Mkuu Imani Kajula pia alishiriki katika tukio hilo. #WenyeNchi#NguvuMoja