Innalillah wainna ilayhi rajiun
My brother, umeenda brother mdogo wako bado nakuhitaji😭
Allah akupe kauli thabiti, na akusamehe dhabi zako na alitue nuru kaburi lako my brother.
💔😭🤲
MWENYEZI MUNGU AWASAMEHE NDUGU ZETU WALOTANGULIA MBELE YA HAKI, AWAPUNGUZIE ADHABU YA KABURINI, AWAJALIE PEPO YA FRIDAUS IWE JUU YENU,🤲😭 I MISS YOU MY BROTHER 💔😭🙏
SISI SOTE NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU KWAKE YEYE TUTAREJEA,🤲
✍️😭
"Na tafuteni msaada kwa subira na Sala, hakika huo ni mzigo isipokuwa kwa wanyenyekevu ambao wana yakini ya kwamba watakutana na Mola wao Mlezi na kwake Yeye watarejea." Qur-aan [2:45-46].
IJumaa ya mwisho ya Ramadhani hii Subhan'Allah Muda unaenda haraka sana, mwezi wa baraka umefika tamati. Mwenyezi Mungu atukubalie ibada zetu zote na atusamehe madhambi yetu yote, na atujaalie tuiache Ramadhani hii tukiwa waislamu bora. Atujaalie tufike Ramadhani ijayo inshaallah
Yaa allah warehemu ndugu zetu walotangulia mbele ya haki uwapunguzie adhabu ya kaburini na wasamehe makosa yao
Na uwape Nour kwenye nyumba zao za milele😭🤲💔🙏
Yaa allah wape shifaa wangonjwa wote Na uwaponyeshe wangonjwa wetu maradhi
Na utujalie khusunali khatima. Ameen🤲
IJumaa ya mwisho ya Ramadhani hii Subhan'Allah Muda unaenda haraka sana, mwezi wa baraka umefika tamati. Mwenyezi Mungu atukubalie ibada zetu zote na atusamehe madhambi yetu yote, na atujaalie tuiache Ramadhani hii tukiwa waislamu bora. Atujaalie tufike Ramadhani ijayo inshaallah
Yaa allah uwapunguzie adhabu ya kaburini na wasamehe makosa yao
Hakika sisi ni waja wako sote tutarejea
Na uwape Nour kwenye nyumba zao za milele😭🤲
Yaa allah wape shifaa wangonjwa wote
Na uwaponyeshe wangonjwa wetu maradhi yao
Na utujalie khusunali khatima
Amen amen. 🤲
Maneno rahisi ambayo ni rahisi kukariri kila siku. Weka ukumbusho wa Mwenyezi Mungu kwenye ulimi wako. سبحان الله SubḥānAllah الحمد لله Alḥamdulillāh لا اله الا الله Lā ʾilāha ́illā llah الله اكبر Allāhu Akbar لا حول ولاقوة إلا بالله LWAWALA WALAWALA Illa bi-llah
It's Friday.🙏