Anasema ukiweza kuhojiana na mateka na kukupa kile unachotaka basi utaweza kuuza kile unachouza.
Kuna mbinu hatari sana za kuuza hunu.
Mfano ile ya
Usikubale mtoke sare,
Matumizi ya ndio, sahihi na hapana na hata mimi nimejifuza hili sikujua hapo kabla.