Walidhani wakisogeza mbele wiki 3 bila sababu yoyote ya msingi ndio watakwepa aibu? Walisahau kuwa muda hausimami! Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, zile wiki 3 zilizokuwa zinawapa jeuri sasa hivi zimekata! Zimeisha!
Sasa hakuna pa kujificha. Tukutane Mahakama ya Rufaa, JIJINI Dar es Salaam! Wana-Dar es Salaam na wapenda haki wote, mjitokeze kwa wingi sana siku ya Ijumaa maeneo ya Kivukoni. Hii siyo kesi ya kisheria, hii ni kesi ya michongo, ya kisiasa, na ya kubambikwa na serikali ya Samia dhidi ya Mhe. Lissu! Tunaidai Mahakama ya Tanzania itende haki bila upendeleo na kusimamia haki za binadamu ambazo zimekuwa zikikandamizwa!
Siku zimeisha na mipango yao imefeli vibaya mno! Hahahahaha! Walidhani labda wangesogeza mbele mwaka mzima ingewasaidia kitu? Imekula kwao! Mhe. Lissu amesimama imara na amegoma kabisa usanii wao. Hataki utapeli, hataki huruma, na hataki maelekezo ya kifisadi ya Ma-CCM ya kutaka kumwachia kwa hisani. Anataka haki itendeke, na atatoka kwa KUSHINDA kesi mahakamani! Tukutane Kivukoni!
#FreeTunduLissu
#MahakamaYaTanzania
#HakiZaBinadamu
New listings.
@lapexproperties tunauza hii nyumba ambayo ni villa mbili za vyumba vinne kila moja. Kila villa ina compound yake. Kiwanja ni sqm 900 kina hati miliki. 📍mbezi beach ya chini karibu na EFM na opposite ya Nextlevel. Bei ni Tsh bilion 1.3 Mazungumzo kidogo yapo.karibuni
- camisa 10 da Argentina; marcou gol na estreia da Copa
- camisa 10 da França: marcou gol gol na estreia da Copa
- camisa 10 da Alemanha: marcou gol na estreia da Copa
o camisa 10 do Brasil: