Stronger oversight of mining deals means fewer leakages. When contracts are tighter, more value stays in the country and shows up in national accounts.
JUST IN: Tanzania’s mining sector contribution has reached ~10% of GDP, up from 6.8% in 2020 and ahead of national targets. This reflects sustained growth and improved sector performance within the broader macroeconomic framework.
JUST IN: Tanzania’s mining sector contribution has reached ~10% of GDP, up from 6.8% in 2020 and ahead of national targets. This reflects sustained growth and improved sector performance within the broader macroeconomic framework.
Even the central bank is now part of the story. Buying 3,424 kg of gold (TZS 702B) links mining directly to national reserves, turning underground wealth into financial stability.
This is really interesting, but let’s be precise:
Gold strengthens reserves, not automatic stability; liquidity still depends on FX flows:
▶️At ~19 tonnes (~$3B), concentration risk rises vs diversified assets.
▶️Gold doesn’t finance the economy—no credit creation.
Selling gold later often signals pressure, not strength.
Kwahiyo, dhahabu ni kinga ya akiba, not suluhisho la moja kwa moja kwenye uchumi, bado kuna hatua nyingi sana serikali ya Mh. Rais Samia Suluhu inafanya kuhakikisha tunaendela kubakia imara..
Twisting words to manipulate and set a certain narrative. Why calling the democratically elected govt, 'Regime', the same thing you do to Iran, and any other countries that deny bowing to your senseless demands. Is this all because we are working with China and Russia?
Kupitia uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan, Tanzania na Kenya zinaimarisha ushirikiano wa kukuza ubunifu wa vijana kuwapa nafasi, rasilimali na majukwaa ya kubadilisha mawazo kuwa mafanikio ya kweli
Vijana wa Chadema na wajinga wengine wanadakia kila ajenda.
Hakuna anayeweza kueleza madhara kiuchumi kuuza kwa serikali kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu.
Kama una hoja ya msingi sema.
Hizi ni nchi zilizouza sehemu za hazina yake ya dhahabu kati ya 2024 - 2025
Urusi - Tani 3.11
Jordan - 2.97
Kyrgyzstan – Tani 1.92
Nchi kuuza dhahabu ni jambo la kawaida na linakubalika kiuchumi.
Kwa sasa dola imeshuka sana, USD kushuka by 10% ndani ya mwaka mmoja sio jambo dogo, Serikali ya Rais Samia haiwezi kupuuza athari hii. Akiba yetu kubwa iko kwa USD na tunaihitaji kwa wingi kuhudumia miradi, so ni lazima tuuze sehemu ya Gold kuimarisha akiba ya FX.
Deni la USA limefikia USD 38.57T, likichangia kudhoofika kwa dola kwa 10.36% ndani ya miezi 12. Kwa sababu hiyo, nchi zinaanza kuacha dola kama akiba kuu na huuza sehemu ya dhahabu kuimarisha akiba ya fedha za kigeni ili kugharamia miradi na shughuli nyingine.
Huyu ajuza vipi?
Deni la USA limefikia USD 38.57T, likichangia kudhoofika kwa dola kwa 10.36% ndani ya miezi 12. Kwa sababu hiyo, nchi zinaanza kuacha dola kama akiba kuu na huuza sehemu ya dhahabu kuimarisha akiba ya fedha za kigeni ili kugharamia miradi na shughuli nyingine.
Huyu ajuza vipi?
Mzee Mtei aliiacha Chadema ikiwa na Milioni 200 Benki. Hadi kufikia utawala wa Mbowe, Chadema ilikuwa na Tsh. 1 billion, tangu Lissu ameingia kuwa mwenyekiti, chama kimejikita kwenye michango na kufuja fedha zote licha ya chama kuachiwa fedha nyingi na Mbowe.
Marekani kuna Watanzania zaidi ya 50,000 wanaoishi kihalali, lakini Libe ameshindwa kukusanya hata watu 50 kwenye maandamano yake. Fikiria, US kuna Uhuru mkubwa wa kuandamana hata kumtukana Rais, lakini watu wamegoma kutoka. Maana ni kwamba, wanayodai hayana uhalali.
Waswahili walisema muda mrefu kwamba, maji yaliyotulia yana kina kirefu. Methali hii inasadiki sana maisha na haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan. Watu walimdharau, kisa ni mwanamke, kisa ni Muislamu na Mzanzibari, hawakujua ana uwezo gani. Yamewakuta, hawaamini.
Maandamano ya Dec. 09 yameshindwa, watafute siku nyingine tena na wanachotakiwa tu kujua ni kwamba, kama Mama alivyosema, muda na wakati wowote ule watakaokuja, basi tumejipanga vilivyo.