KABATI MILANGO MITATU
NEW DESIGN KABISA ✅
BEI NI 370K TU
TUPO UBUNGO MAJI
0628980314 PIGA CM/WATSUP
Tupe dhamana ya kupendezesha nyumba yako unastahili vizuri
@bonifacejoseph_@privaldinho Maisha ni kuchagua ww kwann usilime au ukasoma tu umechagua kuwa winga Kuna watu ni wasomi ila ni maplayers maisha ni kuchagua
@hancymachemba Ulisikiliza strategies na malengo ya timu msimu huu na ni timu ngap zenye wachezaji 17 wapya alf wakafanikiwa msimu huo huo mjomb mpira unanjia zake na mafanikio yanaprocess liver before treble alingojea 4 years sem unatakiwa ujifunze mpira kabla ya kuongea
Kaka hii sio siasa unayojua hii ni mech ya mpira na unachez away game na mwarabu tumefungwa magoli ambayo ni small error na sio open play Simba kapush tunaongelea timu yeny 17 new players vs bingwa wa ligi aliefungw 2 match lkn Simba kajitahd san kweny away game tulipaswa kufa 5+
@hancymachemba Bado ujajua mpira ndo maan unaona new players sio utetezi wakt Kila mtu anajua Hilo na kuhs jamaa wametupita ni kwel na tutahitaj kupambana ila sio lawama kwa timu kwanza inabd uheshimu timu ilioruhus magoli 2 mapema na bado ikaweza kucheza bila kuongezwa that's is mentality
Ukwel ni kwamba hatuabudi viongz wa dini ila tunaabudu mungu na maneno yake Kam ilivoelekezwa hata km ni kiongozi hatukusikilz Kam umepindisha Quran mlengo huo ww inabd utake radhi kwa Allah maan siasa haiwez kukupa pumzi Wala afya njema Kam hautakua na Iman thabit
Hii tweet umedhibitisha watu hii nchi tuna safari ndefu Sana kwenye ukombozi WA kweli.
Yaani wafia dini wamekuwa serious mpaka wananitukana nisihame ila wameshindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kukemea maovu na kuwasihi viongozi wetu WA dini kusimamia ukweli.😂😂😂