Antimalarial drugs and food: what you should eat for better results
When treating malaria, what you eat can affect how well your body responds to treatment.
Food doesn’t replace antimalarial drugs, but it can help your body recover faster.
Come with me 👇🏾
@TMnyama4_ Hapo hiyo sura iko wazi inasisitiza nikkah kwa na kukataza zinaa kwa mtu yeyote hata kama sio muislam ni vyema kumuoa kihalali .... Jiepusheni na zinaa hakika zinaa ni uchafu.
@TMnyama4_ Remember: You’re loved, valued, and never a burden. Let’s plan something soon—even if it’s just sharing memes at midnight. 🌟
Sending you the biggest virtual hug.
Always here for you,
[Goldream Hans Mtasha]
@TMnyama4_ Bravo king
You didn't lose her. She lost u.
You didn't need her. She needed U.
She was not special. u made her special.
U were not lucky to have her.
She was lucky to have you.
Let her go and move on.
- If you aren't currently following us, you'll probably never see us again.
@Labella_Mafia95 Ukubwa wa nyashi na paka ni mambo ya kibaolojia yanayotokana na mambo ya kibinafsi kama jeni, homoni, na utunzaji wa mwili. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati yao. Ikiwa kuna wasiwasi kuhusu afya ya uzazi. Wasiliana na wataalamu wa afya.
@fumbokhanJr Uhusiano wa masafa marefu unaweza kufanikiwa kwa misingi ya mawasiliano, uaminifu, mpango, na juhudi za pande zote. Kila mwenzi anapaswa kuchangia kwa moyo wazi na kuvumilia changamoto kwa kuzingatia malengo ya pamoja
@max_zitatu na kujishughulisha katika unachokipigania.Hayo ni mafanikio ambayo hayawezi kuletwa na kiwango cha elimu bali ni uwezo wako.Mengi mazuri kwako yatakuja Kwa uwezo wako wa kufanya matendo sio kiwango chako elimu.
@max_zitatu Hakuna uhusiano kati ya kiwango cha elimu na uwezo wako kifikra,akili na utendaji.Kuwa na kiwango kikubwa cha elimu ni jambo zuri sana lakini kama hauna uwezo kimaamuzi na kimatendo basi elimu yako haina tija.Kwa sababu uwezo wako unatokana na maamuzi yako ya kutumia akili
@TMnyama4_ na kuna siku utapata zaidi...Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi yako....wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta mafanikio...amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa.
@TMnyama4_ Amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yako..na si binadam
mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini hajui atendalo
ishi kwa uhalisia wako na usiige maisha ya mtu
tii haja za moyo wako c maneno ya watu
ridhika na ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa