Jipatanishe wewe na Mungu wako kila uamkapo asubuhi, utabarikiwa kila uingiapo na utokapo. Amina. Muwe na jumapili yenye baraka zake Mwenyezi Mungu wapendwa. ππ«β€οΈ
Good morning everyone πππ
Kumsahau Mungu baada ya kukutendea mema ni kuruhusu adui zako wawe na nguvu juu yako hakuna kinga iliyo thabiti kwenye maisha yako zaidi ya Mungu haijalishi upo kwenye level gani ya maisha kamwe usikubali kuachana na Munguπ Iwe Siku Njema Kwetu Sote NAWAPENDA WOTE π€β€οΈβ€οΈβ€οΈ
#Naomba Retweet Dearsβ€οΈπ
π27,000/=
π0714336827
#MIKOA YOTE NATUMA
πKuona #JeziZaidi Tembelea Upande wa #MEDIA@MissChelsea1221
π¨Ukinunua Kuanzia 3 delivery FREE nchi nzima