MWANAUME JALI TOKOMEZA SINGLE MOTHER.
Hakuna mwanamke mwenye maadili aliye na ndoto za kuwa na mtoto bila baba, nankujiandaa kufanya huduma zote kwa mtoto.
Tofauti na kifo au ugonjwa kinachoweza kumtenganisha mama, baba, mtoto ni kutokujali. Mwanaume aliyeoa, vijana wa kiume,
@mpambazi@kigogo2014 Mafanikio yana njia zake japo kuna mipango na mikakati. Umefanya lamaana kujua cha kufanya na wakati wa kufanya. Naamin yameisha hayo. Nawatakia kheri kwenu ninyi wote.
@mpambazi@kigogo2014@mpambazi ubarikiwe na Mungu kwa kutambua kuwa hata ubaya ni somo la uzuri, uchafu hufunza Usafi baada ya matokeo. Pia takataka inaweza kuwa unachotaka kulingana na hitaji lako. Tutasimama pamoja kwa nguvu zaidi.
Habari za siku nyingi rafiki zangu wa tweeter? Nahitaji ukaribisho wenu tena. Nilikuwa nawakumbuka sana pia nilikosa kucheka na kujifunza kutoka kwenu.@bentemba2019@Yunusijr@mpambazi na wote kabisa.