Tulisema wakati wa kampeini, tutasimamia ahadi zetu kwa Watanzania.
Tutajenga taasisi ya kubadilisha Nchi hii na kuwapa Watanzania Nchi isiyo na upendeleo, ufisadi, rushwa kuoneana na kuumizana.
Tutahakikisha rasimali za Nchi yetu zinatumika kwaajili yetu sote sio kikundi kidogo cha watu.
#NoReformsNoElection
Kwa kawaida Mwalimu akiwa darasani ni sawa na mbunge bungeni au hakimu akiwa mahakamani…
Anakua na kinga ya Asili huwezi kukamata mwalimu kwasababu ametoa mfano usioupenda au unaokuudhi..
Serikali ya kidkteta ya kidhalimu ya Samia inakamata walimu wanaofundisha wanafunzi kujua uovu wa serikali.
Utawala usiofuata sheria unafundisha watu kudai haki kwa nguvu…
Huyu mwalimu anafundisha Course ya PS 123: Government and Politics in Tanzania
Dola dhalimu wanamtishia, asitimize wajibu wake wa kufundisha kwa kutoa mifano halisi ya nchini kwetu. Sasa wanaingia mpaka madarasani wanapangia walimu nini wafundishe.
Sheria za Nchi yetu ziko wazi, huwezi kumshikilia mtu kituo cha polisi kwa zaidi ya masaa 24, kama itakua zaidi ya masaa 24 basi isiwe zaidi ya masaa 48 bila mkuu wa kituo kuomba ruhusa ya mahakama.
Leo ni jambo la kawaida watu wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za polisi kwa miezi 6, 3 nawengine hata 8.
Kuna watu wanapigwa na wanakua walemavu na wanaendelea kushikiliwa.
Hivi tunavyozungumza kuna vijana wa Chaso Mbeya walikamatwa na wanashikiliwa tangu tarehe 4/7 wengine wamepigwa vibaya na kuumizwa.
Mimi nilishikiliwa kwa zaidi ya siku 21 kwenye mahabusu ya polisi nikiwa nalala kwenye sakafu.
Huu utawala dhalimu unafundisha Wananchi kwamba Nchi hii hakuna sheria ni kila mtu kujitetea.
Kwa njia kama hizi nani ataheshimu mahakama za Tanzania, wanatumia Mahakama pale tu wanapoona inaweza kuwapa kile wanachokitaka… Huyu ni mhadhili wa chuo anafanyiwa hivi, mahakama inaona jambo kama hili ambalo polisi tangia mwanzo hawakufuata sheria.
Watanzania tuungane wote, tuchangie na tujenge taasisi itakayoondoa uhuni huu kwenye Nchi yetu.
APPRECIATION POST YA WANAHARAKATI WANAOPAMBANA INSTAGRAM NA TIKTOK!!!!
NCHI YENU IKO PROUD NA NYINYI. KUBALINI WITH PRIDE, MAJINA YOTE MNAYOPEWA NA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
Jueni kuwa nyinyi sio wapigania haki wa kwanza kuwa demonized na serikali kama hii serikali haram, serikali ya 6 ya TANZANIA.
South Africa, activists na wadai haki waliitwa “trouble makers” na “magaidi” , Kina Mandela walikaa jela miaka karibia 30 sababu walikuwa labeled magaidi na wahalifu wanaoharibu amani ya South Africa. Mwisho wa siku gaidi wa South Africa, akawa Rais wa South Africa.
Hapa Marekani Martin Luther King alikamatwa na kufungwa mara karibia 30 ,serikali ya Marekani ikidai ni mhalifu na anataka kuharibu amani ya Marekani. Leo nchi ya Marekani ina sikukuu ya Martin Luther King day. Yule mhalifu alietaka kuchafua Amani ya Marekani leo ana sikukuu yake Marekani. Siku ya Martin Luther King Day,kila mtu serikalini anakaa nyumbani na kumkumbuka kwa kazi yake ya kudai haki ya watu weusi Marekani. Na sisi wanaharakati wa Tz kuna siku tutaheshimika, although leo sisi ni magaidi.
Tusiende mbali, kabla ya katiba mpya kupatikana Kenya, wanaodai haki na activitists waliitwa majina yooote mabaya na serikali ya Kenya, mpaka wakaitwa “‘maadui wa maendeleo”. Leo Kenya inaongoza kwa haki na demokrasia East Africa Nzima. (Though Ruto anataka kuwaletea ungese wa Samia). They are not 100% there but they are almost there.Kenya is doing better in democracy than entire East Africa or maybe entire Africa, after SA.
My point is, wanaharakati wa Tz leo tutaitwa wahalifu na magaidi ila naomba muamini kuwa mkiendelea kupigana kuna siku serikali mpya ya Tz itawavalisha medali za ushujaaa. KEEP FIGHTING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania tusikubali Lissu akae jela muda mrefu ili Tz ipate haki. This is 2026, there are way more tools and technology to help LISSU TODAY THAN THERE WAS BACK IN THE DAY TO HELP MANDELA.
TANZANIA, TUKO HAPA TULIPO ILI TU FAMILIA 2 ziendeleee kuinyonya Tanzania, FAMILIA YA KIKWETE NA FAMILIA YA SAMIA SULUHU!!! Shame on jeshi la polisi na MOMBO- (USALAMA WA TAIFA) Hivi vyombo viwili ndio vinavyoruhusu familia hizi 2 kuharibu nchi!!!!!!
Kesi imeahirishwa hadi kesho saa 3:00 asubuhi. Mwenyekiti Tundu Lissu ameomba usikilizwaji wa kesi uanze mapema tofauti na ilivyokuwa leo, kutokana na utaratibu wa kumuweka katika chumba cha mahabusu (lock up) hadi muda wa kuanza kesi unapofika.
Katika hatua hiyo, Mheshimiwa Jaji ametoa amri kwamba Mwenyekiti Lissu asipelekwe lock up, kwa kuwa yeye si mshtakiwa katika kesi hii.
Tunawaalika wanachama, wapenda demokrasia na watetezi wa haki wote kufika mahakamani kushuhudia mwenendo wa kesi hii muhimu, ambapo kwa mara ya kwanza kiongozi wa upinzani atamhoji Mkuu wa Magereza kuhusu utaratibu wa Gereza la Ukonga kuzuia au kuweka vikwazo kwa mawakili kukutana na mteja wao.
Tunaendelea kusimamia misingi ya haki, uwazi na utawala wa sheria.
Huu ndo ukweli mchungu kuhusu Mafuta.
Leo TPDC ukiwauliza Vitol walipatikaje?, alishindanishwa na nani?, mikataba yao iko wapi?
Hawana majibu
Ukiwauliza mahusiano ya Vitol na Namaro( kampuni iliyosajiliwa Dubai na mmiliki anayeishi Tanzania) yakoje? Watakaa kimya.
Ukiwauliza zile taarifa za Mafuta zaidi ya Lita Milioni 300 ambazo zinaingia na kuuzwa bila kurekodiwa popote watakuita mchochezi.
Kumbuka!
Kuna taarifa za Abdul na Namaro kuiba sh 544 kwenye kila lita moja ya mafuta na taarifa za ndani kabisa zinasema pesa hizi zimetumika kununulia silaha za kuwapa kikosi maalumu cha Abdul na Samia cha utekaji,na hakuna mhusika hata mmoja anayeweza kutoka na kuitolea maelezo ya kina.
Sasa wewe mtanzania mwenzangu hebu tujiulize hivi ni kweli hawajui kwamba ukipandisha gharama za mafuta umepandisha bei ya kila kitu nchini kuanzia Sukari, Mafuta, Chumvi etc...
Wanafanya yote haya kumkomoa nani?
TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
@Jambotv_ Vizee vya hovyo😏 heshima hailazimishwi ni matendo yako kauli zako utaheshimiwa hata na kuku! Bahati mbaya kuanzia juu kabsa hadi chini hayupo anayestaili heshima. Good for nothing
Mapema leo wazee wa Mkoa wa Mara wamekutana na Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche na kumpatia zawadi.
Tuendelee kuchangia chama kupitia
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️TAARIFA MBAYA‼️
Usiku wa leo, majira ya saa kumi, watu wanne waliokuwa na silaha za moto na vifaa vinavyodaiwa kutumika kuvunja mlango, huku wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na bila kujitambulisha, wanaripotiwa kuvamia nyumbani kwa Katibu wa Wilaya ya Shinyanga wa BAVICHA, Alfred Masanja, na kuondoka naye.
Hadi sasa, haijafahamika alipelekwa wapi wala ni akina nani waliohusika na tukio hilo.
Tunafuatilia kwa karibu taarifa za tukio hili na tutatoa taarifa kamili leo Asubuhi
Jackson Mnyawami
Katibu wa Kanda ya Serengeti.
Wanaharakati, please tuelimishe wananchi jinsi ya kufanya maandamano ya kutokea ghafla bin vuup huku tukiendelea kujipanga na maandamano ya amani ya AFCON.
Tuwafundishe wananchi jinsi ya kutumia mikusanyiko kama ya mpira au chochote kile kuanzisha maandamano ya amani hapo hapo. Na kwamba wananchi wakiona tu maandamano yameanza eneo flani na wao waandamane hapo hapo kwenye maeneo yao.
Yani tuwafundishe ujanja wa kulipuka na maandamano ili tusiwape nafasi serikali haram ya kufanya chochote kuzuia maandamano.
Let’s talk about this as much as we can………Yani lazma tuweke hii idea kwenye kichwa cha kila Mtanzania.
MAANDAMANO YA AFCON YAPEWE NGUVU KUBWA!!! MACHO YA AFRICA NZIMA YATAKUWA TANZANIA, LAZMA TUITUMIE NAFASI HII KUKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA FAMILIA HIZI CHACHE ZILIZOJIMILIKISHA NCHI YETU, FAMILIA YA KIKWETE , FAMILIA YA KIMAMA na MBWA ZINGINE.
Asante sana Mange na Watanzania wote mnaoendelea kuchangia Chadema michango yenu inazidi kuiimarisha na kuwanyong'onyesha Mamumiani wanaotaka kuiua Chadema. Niwaombe Watanzania tuchangie Chadema kwa malipo ya kujirudia kila mwezi 0744 446969 na kuipa Chadema mapato ya kudumu.
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Mtuacheni tuichangie Chadema acheni wivu maneno ya mwananchi.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
TAARIFA MBAYA
Usiku wa leo, majira ya saa kumi, watu wanne waliokuwa na silaha za moto na vifaa vinavyodaiwa kutumika kuvunja mlango, huku wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na bila kujitambulisha, wanaripotiwa kuvamia nyumbani kwa Katibu wa Wilaya ya Shinyanga wa BAVICHA, Alfred Masanja, na kuondoka naye.
Hadi sasa, haijafahamika alipelekwa wapi wala ni akina nani waliohusika na tukio hilo.
Tunafuatilia kwa karibu taarifa za tukio hili na tutatoa taarifa kamili leo Asubuhi
Jackson Mnyawami
Katibu wa Kanda ya Serengeti
Utasikia, “Mheshimiwa, tuko pamoja” Kama maneno haya yangekuwa vitendo, CHADEMA ingekusanya Bilioni 1 ndani ya masaa 12.
Bilioni 1 ni watu 500,000 wakitoa Sh 2,000 kila mmoja; watu 100,000 wakitoa Sh 10,000 kila mmoja; au watu 100 tu wakitoa Sh Milioni 1 kila mmoja. Tusiruhusu maadui zetu watucheke. Tusimame kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Tukiamua, tunaweza kukusanya hata Bilioni 10 ndani ya wiki moja. Impossible is Nothing.
M-PESA: CHADEMA HQ – 0744 446 969
CHADEMA NMB: 22606600140
Mwandishi wa Habari wa Jambo TV na mwanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Mbeya, Kevin Ndabila, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya baada ya kukamatwa jana jioni.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, Kevin alikamatwa na askari wa Jeshi la Polisi na kupelekwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Mkoa wa Mbeya, ambako anaendelea kushikiliwa hadi sasa.
Hata hivyo, mpaka sasa Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi kuhusu sababu za kukamatwa kwake wala kosa analodaiwa kutenda.Jambo lilalo ibua maswali kutoka kwa familia,marafiki, wanahabari wenzake na viongozi wa CHADEMA, ambao wanataka kuwepo kwa uwazi kuhusu msingi wa kuendelea kumshikilia.
Tunaliomba Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi kuhusu sababu za kumshikilia Kevin Ndabila na kuhakikisha haki zake zote za kisheria zinazingatiwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
#FreeKevinNdabila
#SikuYaVijanaDuniani
#FreeTunduLissu
#KijanaNaKatiba
#TukutaneDodoma
SATIVA AMETIMIZA AHADI YAKE, SASA CHALLENGE MPYA NI MILIONI 200! 🔥
Watanzania mmeonyesha kwamba mkiamua, mnaweza. Baada ya kufanikisha lengo la TSh. Milioni 100, Sativa ametimiza ahadi yake kwa kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
Lakini safari haijaishia hapo.
Sativa ametangaza Challenge mpya: Watanzania wakifikisha TSh. Milioni 200, naye atachangia tena TSh. Milioni 3 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
Challenge imeanza! Tumeonyesha tunaweza kufikisha Milioni 100, sasa tuungane tena tufikishe Milioni 200 na tuandike historia nyingine.
TUENDELEE KUCHANGIA KUFANIKISHA BARAZA KUU LA UMMA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo