“Akiba ya fedha zetu za Serikali tuliyonayo tunaweza kuendesha Serikali kwa miezi mitano bila kukusanya hata senti tano" Rais Magufuli
#MillardAyoUPDATES
Rais Magufuli: Jana nililetewa mahindi, sikula kwasababu nilijua ni sawa na yale ya kule kwingine ambayo tunawekewa chumvi na pilipili
> Mahindi hayo niliyaweka pembeni nikalala, harufu ikawa inanijia. Saa 6 usiku nikaamka na kula yote
> Mahindi yenu ni 'Super'
#MagufuliNjombe
“Eneo la saba na la mwisho katika ukaguzi maalumu ni ununuzi wa sare za askari polisi uliofanywa na Jeshi la Polisi nchini, tulibaini kwamba jeshi lililipa Sh16.66 bn bila kuwepo kwa ushahidi wa uagizaji wala upokeaji wa sare hizo” – Prof Assad
#AzamTVUpdates#RipotiYaCAG2018