Nikaseti ghetto nilipige maji nitandike mashuka mengine ,nitoe zile sahani chini ya uvungu mtu anakusumbua weeeee leo ndo anakutafuta anakwambia niko njiani nakuja saplaiz za kiboya 😂
TUSALI
Bwana, naweka mbele zako kila kinachonipa hofu, wasiwasi na mzigo. Nipe moyo wa kutulia, hekima ya kufanya wajibu wangu na imani ya kukuachia yale ambayo yako nje ya uwezo wangu.
Linda moyo na mawazo yangu, na amani yako itawale ndani yangu.
Amina. 🙏🏾
Nakumbuka kuna mwanangu alikuwa anadate na mwarabu dem mkali , choo kipo tena cha ukweli .
Wameanzia O level advance mpaka chuo wametoboa wote na bikra yeye ndo alimtoa , Jamaa kwao maisha ni ya kawaida ila dem kwao wana mawe hatari .
Jamaa alipomaliza chuo , Dem akamwambia Nyumbani kwao wanataka Aolewe na mwanaume mwingine mwarabu mwenzake tena wameshamwandaa 👇👇
Eeh Mwenyezi Mungu niongoze kwenye mwendelezo ulio bora,kiroho,kiuchumi,katika kazi,mahusiano na tabia.
Kila nilichojenga kwa nia njema, kiendelee kukua kwa neema yako.
Na kila nilichokianzisha ambacho si mapenzi yako, nipe hekima ya kukiacha.
Nipe neema ya kudumu,Amina🙏🏼
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
Kabla ya kulala, jikabidhi mikononi mwa Mungu na ulale kwa amani:
Zaburi 4: 8 – “Kwa amani nitalala…”
Methali 3: 24 – “Usingizi wako utakuwa mtamu.”
Zaburi 121:3 – “Yeye hataruhusu mguu wako usogee…”
Mkabidhi Mungu mawazo yako yote, maana yeye anakujali. Lala salama, uko mikononi mwake 🙏
Usijione special sana kiasi cha kufikiri dunia itakuonea huruma.
Life is not emotional.
Life rewards effort, consistency, and sacrifice.
Kama hutaki kubeba maumivu ya nidhamu, utabeba maumivu ya majuto.
KAZA !
Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha. Ukiyatafakari maisha kwa kina, utajifunza mengi, lakini zaidi ya yote utajifunza upendo, huruma, haki na utu wema ndio vitu vya msingi ktk kuishi. Maana hapa duniani tunapita kwa kasi kubwa sana, haijalishi tunamiliki nini au sisi ni nani. Kifo ni kumbusho kuwa kesho yetu haipaswi kuwa chanzo cha maumivu kwa wengine hata kidogo. Nafikri hii ndiyo maana halisi ya kuishi , kuacha alama ya wema na upendo si majeraha mioyoni mwa watu. Maumivu ya kuondokewa ni makubwa, lakini kumbukumbu nzuri ni tiba ya moyo.
Dalili nyingine ya UMASIKINI ni hii
Ukiwa na pesa, unajulikana.
Ukikosa pesa, unajulikana pia.
Hii ina maana gani?
Maisha yako yanategemea hali ya mfuko wako.
Leo una furaha kwa sababu una pesa. Unasepend kwenye kila kitu
Kesho una huzuni kwa sababu zimeisha.
Hapo si wewe unatawala pesa bali pesa ndizo zinakutawala.
Mtu huru kifedha si yule mwenye pesa nyingi pekee
Bali ni yule ambaye maisha yake hayabadiliki kulingana na kuwepo au kutokuwepo kwa pesa.
#ElimikaKifedha
Namna arsenal anavoendelea kushinda mechi zake ndivo anazidi kunifanya nisiendelee kuupenda mpira
Haiwezekani uchukue ubigwa kwa kutegememea magoli ya kujifunga na kumzonga kipa
Mpira hauna ubunifu kabisa 🚮🚮
Kuna Wanawake Wengi Sana Wana Maisha Magumu Yaliyofichwa Katika Utumwa Wa Muonekano. Wana Simu Kali, Wanavaa Vizuri Ila Hawana Uhakika Wa Maisha Yao. Wanapoishi Au Kulala Ukioneshwa Unatamani Uwafanyie Maombi Ya Kuwatoa Kwenye Utumwa Wa Maisha Ya Utandawazi.📌