Nashangaa watu wanapo izungumzia tarehe 14 nisiku ya wapenda nao ina mana kila sku tuna danganyana atupendani adi ifike tarehe14 ndosiku yakuonyesha upendo wa sku zingine zote mweeeeee😂😂😂✍️
Mwanamke anae kwambia awezi OKOKA na kumkili YESU kuwa mwokozi wa maisha yake mjibu "sio tuu hufai kuwa MKE wangu bali hufai hata kuwa mwandaa makombo ya kulisha mbwa wangu"✍️✍️