@MigunaMiguna@WilliamsRuto Swali tu, mbona hakuna ata mtu mmoja hamtokea kwa media akasema, kuna mtu alikuwa anaishi na yeye amepotea tangu maandamano ianze na hajawahi rudi na zile follow up zote amefanya hawezi mtrace?
By the way Gen z's said they're leaderless but ile barua ilizunguka hapa online and they cease from demonstrating. If I may ask who wrote that letter for armistice? #SabaSabaMarchForOurLives
@MarthaKarua Mheshimiwa Martha, I know hauezi mind kugift a stranger Christmas. Na kwanza mtu anasema kilicho moyoni ni mzuri kuliko yule anaamua kuponyoka, asante sana kwa utangulizi.