Mama Suluhu Hassan, President of Tanzania, is fast becoming one of my favorite leaders in Africa. No nonsense and extremely decisive! Asante sana Mama.
Madam President @SuluhuSamia
Ni rahisi tu,
Ondoa Mabalozi wako katika nchi zao.
Futa mikataba yote ya kimataifa ambayo nchi yetu imeingia na nchi zote duniani.
Halafu ichukue Tanzania ipeleke kwenye safari ya Jupiter ukaishi huko kwa kadri utakavyotaka.
Kama ungepata dakika 30 za kunywa chai au kahawa na mentor yeyote hapa Tanzania, ungemchagua nani na ungemuuliza nini?
Tag mentor wako kwenye comment na umuulize swali lako.
If you had 30 minutes to have a cup of tea or coffee with any mentor in Tanzania, who would you choose and what would you ask them?
Tag your mentor in the comments and drop your question!
Head of Public Service Felix Koskei’s focus on discipline and outcomes has created a culture of accountability across public service. Firm HOPS | #FelixLeads
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Geneva katika kampeni ya kusaka kura za Mgombea wa Tanzania Prof. Mohammed Janabi katika nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Uwepo wake mjini hapo ni ishara na dhamira ya dhati ya kisiasa na mshikamano wa kitaifa, kwani anaungana na Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jenista Mhagama na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, kuomba kura kwa Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Afrika.
Kwa pamoja, wametoa wito wa kuunga mkono ombi la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kumchagua Janabi wakimtaja kuwa Kiongozi mwenye maono makubwa aliyejitolea kuboresha na kuimarisha ajenda ya afya barani Afrika.
#MillardAyoUPDATES
I arrived at Daresalaam Mwalimu Julius Nyerere International airport at nine am , and immigration referred my passport to the supervisor who has kept me waiting for an hour as she consults her superiors 1/3
Mshahara wa Mkuu wa Mkoa ni Milion 3 huyu Makonda matako kanunua kiwanja kwa Bilioni 1 @SuluhuSamia .Mpambe wako samia kanunua viwanja vya mamia ya mamilioni , Katibu wako Mr mapete the same thing Madaktari hawa mafisad wakija hospitali wachomen Diclofenac I.V
@ikulumawasliano
#CAFCC "Hatujapata bao ni kweli ila hatujilaumu, wao ndio watajilaumu kutopata bao la tatu"
"RS Berkane wao walikuwa na njaa ya kufunga bao la tatu maana walikuwa wanajua mabao mawili hayatoshi, mechi ya pili itakuwa ni mechi tofauti.'- Amesema Fadlu Davids - Kocha wa Simba SC.
#CAFCC #EastAfricaTV