@MagdalenaJ81011 Wanataka wanaume wasio eleweka wanatk nn km me,,,sieleweki mfupi mrefu mweupe mweusi fujo mpole sina wivu ni nano yani km sms tuu ilivyo haielewek inatk nini
@fumbokhanJr Madem wa bongo jau sana anasema antumia million 8 kwa wiki wakati yy anaingiza kihasi gani π dah bongo madem zetu mtajiona mpo single maza milele....ongea leo ila jua unaenda uzeeni ndo utaona faida ya hicho unachosema......afu usisahau magojwa na matatizo ndo yana waumbua nyie.