former Host at ZANZIBAR BRODCASTING CORPORATION.(ZBC ) Producer/Script writer/Fixer/ZIFF Music & Performing Arts Coordinator/Founder & Board member ZIM
@HildaNewton21@HecheJohn Upuuzi ntupu....yaani mtu anaemfatilia mtu alafu hata asiwe anajua anapokaa eti aende kuuliza mtaani kwa huyo mtu ?...hivi Watanzania mnatuonaje lakini?
@lwaitama1 We sema tu kama @mangekimambi acha kugombanisha Chadema sasa mzee wangu unazuunguka zunguuka kutaja Wanaharakati wakati aliesema ni mmoja tuu Mange...Mzee muoga wewe!!!🤣🤣🤣🤣
Hawasemi au wewe husikilizi?....haya mie nakwambia hapa Katafuta Mil 300 za Nilesh...Ivi mnatuona Wajinga?@HecheJohn asingiziwe tunavyomjua asubiri wewe Lwaitama meter asijitetee mwenyewe?anaogopa bcz anajua kuna watu wana risiti za mambo yake wanamsubiria atoke kujieleza wamuabishe..ungekua na Akili we Mzee ungejiuliza Heche huyu huyu?yaani asingiziwe mambo mazito kama hayo mpaka leo awe kimyaaaaa🤣🤣🤣🤣
So we ndio leo unakijua sana Chadema na una uchungu nacho kuliko @godbless_lema ,Sugu,Boni na wengine ambao wanahoji?....Madogo bana kwa kujikuza 🤣🤣🤣🤣 eti CCM imetoa hela yaani justification ya kitotoooo toka zama za mawe kina mzee Mtei ndio walikua wanajustfy kufeli kwa chama chao kwa kuihusisha Ccm na kila jambo ..leo after 30 yrs na wewe unakuja na upuuzi huuu?
@Whisperpicx@HecheJohn Manzosema zinaliwa CCM ni za Bibiyako?
Mbona mmekua na kiherehere cha kuingea mambo ya ufisadi wa wana Ccm au zile amezitoa Mjombaako sio?
@godbless_lema Yohana 8:32-34
32 Mtaelewa yaliyo kweli kumhusu Mungu na ukweli huu utawafanya muwe watu huru. 33 Wao wakamjibu, “Una maana gani kusema tuta kuwa huru?
@mangekimambi jana uliwaambia WANAHARAKATI wenzio kua KOSA kubwa alilofanya MARIA ni kutangaza habari ambazo si za kweli kuhusu Rais kusafiri to France.
Leo nakwambia wewe Mange kua kosa kubwa mbalo utakuja kulijutia and bila kujua (kwa kupenda sifa za kuropoka ropoka) limeshakuondolea Credibility yako ni uliposema jana HATA HECHE AKILA PESA ZA CHAMA NI SAWA....na ukahoji wanaouliza wamechanga wao?
Hii ni bogus statement ever mentioned na Mwanaharakati yoyote toka dunia ianze...So leo unataka kuwaaminisha WATANZANIA kua VIONGOZI wa upinzani are not ACCOUNTABLE to anyone?? So leo chama cha upinzani wanaruhusiwa tuu kula pesa za wananchi na za Wafanyabiashara Mafisadi?
MWISHO .....why MANGE unagangaika kumsafisha @HecheJohn wakati mwenyewe yupo and ana uwezo wa kujisemea?why Heche hatoki kuwapinga with Facts Viongozi wa kinda za Chadema ambao wamejitokeza kusema?wale si ni viongozi why aache aongelewe vibaya ?HECHE huyu tunaemjua WATANZANIA anymore kimya kwenye jambo la kusingiziwa?...so Mange haukua na akili ndogo tuu ya kujiuliza if waru wanamtuhumj Publicly na yupo why unataka asemewe na wengine ?
Wakati aa uchaguzi wa Chadema mwaka jana @TunduALissu alisema hadhari kua kuna fedha CHAFU ndani ya Chadema,alishutumiwa kwa kusema hadhari Lissu Na Heche hawa hawa ndio waliowaambia Watanzania kua MAMBO YA FEDHA ZA CHAMA si ya siri ...why leo unazuia watu kuhoji ubadhilifu kwenye Chama?so ilikua sawa kwa Lissu kutuhumu wenzie kina Mbowe bila ya kuambiwa Kahongwa na Ccm but now kutuhumiwa Heche ndio iwe kina Lema wamehongwa?
Yaani jana umejivua nguo pasi na kujua watanzania washakuona huna msimamo wala uchungu na nchi if unaweza kusema watu wale tuu pesa bcz zimechangwa na wananchi je unajua wananchi waliochanga wamejinyima mangapi kuchangia chama?
Tatizo la yule dada anaona yeye ndio wa kuamua Watanzania wamuamini nani and wamkatae nani..Hili ni kosa ambalo kila siku tumekua tunawaambia Chadema na kina @godbless_lema kua the moment walipoamua kuwaacha WANAHARAKATI wawaamulie Agenda za Chama basi ndio Muda walioamua na wao kujimaliza...Leo @godbless_lema wewe ndio wa kuvuliwa nguo na Mange vile after all those years of building your reputation??mmelea chatu sasa anakula vifaranga vyenu huyo @mangekimambi has never been for anyone or nchi...miaka yote Mange yupo after her personal Fame and ukubwa,kila Jambo lazima yeye ndio atataka awavue nguo wengine wote and yeye ndio awe shujaa na hata hili ameamua tuu kwa makusudi kuignore hata maandiko yake ya nyuma aliyokua anasema CREDIBILITY kwa vyama vya upinzani is everything ajabu leo anakwambia hata kiongozi Akila hela za Chama ni sawa kwa sababu zimechangwa na wananchi? Sasa kiherehere cha kuwasema CCM kinaanzia wapi kwani hela anazosema kila siku serikalini zimetoka kwa Babaake au bibiyake?si wananchi wote?so leo hela ya wananchi ni sawa kuliwa na HECHE simple bcz yeye ndio anampenda?
Kama ulikua unadhani eti ule upuuzi wa Maandamo unaweza kudhoofisha uchumi basi wewe ni mgeni wa Watanzania wakati wa siku za Mapumziko kama leo...Hii ni 7/7 muda huu mchana nyomi kama unvyoona...WATANZANIA hawana Habaaariiiy na wamegoma ujinga ujinga!!!!
@salim_alkhasas@kigogo2014@kigogoforum_
Ushamba tuu Watanzania tunao...mwenye akili hawezi hoji vitu vya kipuuzi kama hivi,Marekani Trump anawatuma wanae kwenye mission za nchi,Mkewe Trump hana cheo chochote serikalini but anaenda kwenye majadiliano yote ya Kusitisha VITA na Iran,Mtoto wa Elon Musk anapanda Ndwgw ya Rais Marekani ana anaingia mpaka ofisi ya Rais ikulu na wala watu hawana muda wa kuuliza why?...sasa wewe unashangaa Mtoto wa Rais kuwepo kwenye Ziara ya Rais?...una akili wewe kweli?
@lwaitama1 Prof itakua wamekukatalia wewe tuu Bank zote wanapima Liabilities sasawamekuona kama umei huo umeshindwa kujiendesha unaenda kukopa kwao je utawalipa lini?🤣🤣🤣🤣
Umetoka Mbeya umekuja mjini mwaka jana ndio maana Huna Maarifa,uhaba wa maji umeshatoka ARIZONA Marekani miezi 6 watu hawana maji,South Africa mwaka juzi walikaa mwaka mzima baadhi ya maeneo tena ya mjini hawa maji kwa ukame wakawa na mgao...
Miwe mnauliza hata GOOGLE haya mambo mengine kabla hamjaropoka