Hedhi kwa wasichana ni jambo la kawaida na kibiologia lakini jamii zetu zimefanya Lionekane jambo la aibu . Hedhi salama inaanza kwa kuwa na uhakika wa maji tiririka , sehemu ya kujisitiri, pedi pamoja na kichomea taka . Hedhi salama inaanza na mimi na wewe ##PeriodFriendlyWorld
We’re proud to launch Female Future Cohort 12 on April 13, 2026.
Another powerful journey with the Female Future Programme.
A big thank you to our partners and a warm welcome to the amazing women beginning this empowering journey.
#FFTCohort12 | #ATETanzania
Out of 1092 applicants, 100 young women were selected for BootCamp 2026 (March Edition).
Today, they graduate with essential ICT skills, career readiness, and the confidence to thrive in the digital economy.
#BootCamp2026#Nashindwaje.
BootCamp 2026 is bridging the digital divide by equipping young women with practical skills in ICT, CV writing, and online learning.
The result: confident, capable graduates ready to contribute to the workforce and their communities. Today #TGEE2026 graduates #Nashindwaje
Leo ni mwanzo wa kitu kikubwa zaidi.Kutoka kujifunza hadi kujiamini, safari ya #TGEE2026 imefikia hatua nyingine na sasa wako tayari kwenda kubadilisha dunia yao.
@HelptoHelpea#Nashindwaje
Some of these girls avoided technology.
Today, they are navigating digital platforms, writing CVs, and preparing for the job market.
This is the power of opportunity + the right support. 🌍
#BootCamp2026#Nashindwaje
Leo washiriki wa TGEE Bootcamp 2026 wanamaliza mafunzo yao . Nyuso za Tabasamu lakini kubwa ni kwamba ujuzi waliopata utawasaida siku zijazo #Nashindwaje
Cc: @HelptoHelpea
Leo tunaadhimisha hatua muhimu ya safari ya #TGEE2026 🎓
Wasichana 100 wamejijengea ujuzi, kujiamini na mtandao wa wenzao kutoka mikoa 20.
Hii ni hatua moja tu athari inaendelea kuonekana.
#Nashindwaje
Sasa tunatumia AI kama kitendea kazi. Kupitia #TGEE2026,washiriki wanatumia ChatGPT & Gemini kuboresha, kujiandaa kwa mahojiano na kuongeza tija. Wakijengewa pia workplace resilience, uongozi & uelewa wa haki za kijinsia ili si kupata tu kazi, bali kudumu & kustawi.
#Nashindwaje
Bootcamp ya ujuzi wa kidigitali chini ya @HelptoHelpea imewawezesha wasichana kujiamini na kuleta matokeo chanya
Jitahida hizi zinapaswa kuungwa mkono #Nashindwaje
Bootcamp ya ujuzi wa kidigitali chini ya @HelptoHelpea imewawezesha wasichana kujiamini na kuleta matokeo chanya
Jitahida hizi zinapaswa kuungwa mkono #Nashindwaje
Kwenye maisha kuna nyakati ambazo mambo hayataenda kama ulivyopanga , kwenye wakati huo kumbuka maisha ni 10% unayofanya na 90% reaction yako
#Nashindwaje
From first exposure to digital tools
to applying critical thinking in real tasks
The progress is clear.
Participants are not just gaining skills,
they are building confidence to use them.
#Nashindwaje#TGEE2026#FutureOfWork
Participants are progressing into Microsoft Excel while strengthening critical thinking and problem solving skills.
The focus is not only on tools, but on how to think, organize, and approach challenges with clarity.
#Nashindwaje#TGEE2026#DigitalSkills
Ndoto ya @HelptoHelpea ni kuona wasichana wanakuwa wabunifu na hodari katika dunia ya kidigitali. Kupitia Mafunzo ya TEHAMA ya TGEE 2026, kuwajengea uwezo wa kushindana na kung’ara katika soko la ajira.
#Nashindwaje
Ndoto ya @HelptoHelpea ni kuona wasichana wanakuwa wabunifu na hodari katika dunia ya kidigitali. Kupitia Mafunzo ya TEHAMA ya TGEE 2026, kuwajengea uwezo wa kushindana na kung’ara katika soko la ajira.
#Nashindwaje
Vijana baada ya kuhitimu elimu zetu tumekuwa tukizongwa sana kuwa hatutoshi kiujuzi kukimbizana na soko la ajira; Kwa kulitambua hilo @HelptoHelpea wamejikita kuwapa ujuzi wa kidigitali vijana 100 ktk matumizi ya kompyuta, AI, Uandishi wa CV,mawasiliano ya umma, nk.
#Nashindwaje
The graduates’ representative is now in front sharing her journey, and you can feel the emotion in the room. From where she started to where she is now. It's not just a story, it’s a transformation.
Cc: @G_MachelTrust#WCWTanzania | #GracaMachelTrust