@Roma_Mkatoliki@Wakazi Huyu jamaa mimi namuonaga anakichwa kikubwa tu na kazi yake ni kukulalamikia kila siku kwani anapiga mishe gani, au ulipita na manzi take?
@licious_tz@420Cousin Haina maana yakuishi ilhali unachukuliwa Kama mfu, hupati haki zako + maisha yanakua magumu
Watawala wanalamba kodi wanajaza matumbo yao na familia zao na kuzidi kujitengenezea mazingira mazuri ya wao na familia zao kututawala maisha yote #kila nafsi itauonja umauti.