Sio ujanja bali na Taufiqi au mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwa hapa. Asante sana Viongozi wangu kwa heshima hii hakika mnatupika na kutujenga kuwa viongozi bora
Kulia ni Mhe. Ridhiwani J. Kikwete (MB) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
It was an exciting moment that might happen once in the life !
You can't say anything rather than the peak of enjoyment with sadness at a time.
Goodbye my fellow leader ! We might meet once again by the willing of Allah ! π―βοΈππππππ
Good manners will open doors that the best education cannot."
Katibu Tawala wa Wilaya ya Igunga, Bi. Elizabeth Rwegasira akinikabidhi cheti cha pongezi kwa taasisi zilizotumia maji sana kutoka IGUWASA.
Asante sana Mkuu ! π―βοΈππππππ
Nimeshiriki maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kimkoa katika kiwanja cha TASAF wilayani Sikonge.
Hakika ukimuelimisha Mwanamke unakuwa umeuelimisha umma. Kila la heri Wanawake wote.
π―βοΈππππππ
Aliahidi na ametimiza. Hakika Mwenyezi Mungu aendelee kumdumishia siha njema, hekima, nguvu, uwezo na upendo wakuendelea kutuletea maendeleo.
Asante sana Mhe.!π―βοΈππππππ