🚨 BREAKING: Vinicius Jr has been suspended for 4 La Liga games — out for El Clásico.
The Brazilian will miss the following games.
- Sevilla (H)
- Barcelona (A)
- Racing Club (A)
- Valencia (A)
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop 💣 moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
Aliacha shule Sekondari, akaanza kusaka pesa. Akafungwa kwa utapeli, akatoka na kupata tenda za Serikali za Mabilioni. Akaoa kwa mahari ya Tsh 150M, akakamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Wicknell Chivayo, rafiki wa Marais wa Afrika, amefariki na miaka 43 kwa ajali ya ndege
KUNA BONGE LA PHONE CALL NIMEPATA DAKIKA HII. NIKIAMKA ASUBUHI CHA KWANZA NI VIDEO………
NAOMBA WANANCHI TUSIICHIKIE KWANZA CHADEMA. MAMBO NI DIPU KULIKO TUNAVYODHANI….
See you asubuhi!!!
Silaha mbili walizobaki nazo CCM na Samia Suluhu ni Wasanii na Mpira……
Watanzania lazma tuzi neutralize hizi silaha.
Leo msanii namba moja Tz, Diamond kaenda kutoa pole kwa mtu alieua mashabiki wake hata mwaka haujaisha,
Hata uchungu na mashabiki wake waliouawa ila ana uchungu na yule alieua mashabiki wake ili tu yeye maisha yake yaende.
kwanini Watanzania tunashindwa kuachana na wasanii kama hawa??
🚨💣 BREAKING! Alexis Mac Allister: “It makes me sad to see I didn’t get a new deal. But there is still time”.
“I will give 100% until the last day I am here. We will see what happens”.
“There were options to leave this summer… but right now I feel I'm in the right club”.
Ushauri kwenu wauaji na mafedhuli
Achanani na huu ujinga wa kubambikia watu wasio na hatia kosa la ugaidi! Hata kama mnatamani muendelee achaneni nayo maana mtakuja kujiharibia biashara zenu - ma hoteli zenu na uwekezaji wenu
Hamtaki sawa ila mjue na sisi tutapeleka moto zaidi - kama mlijua hapa ndo mwisho basi mjue ndo kwanza tumeanza
Futeni hizi kesi mara moja - mwambieni Johari hizi kesi aende Zanzibar huko kuzibambika kama ana hamu nazo!
Mnajua tunachowaambia ni kweli - consequences za hii move ni mbaya!
Haya #TutaelewanaTu
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!!
Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege.
Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!
The way Ronaldo will be eager to score against DR Congo tomorrow after that Messi banger, all the fans that will be behind the Goalposts should go to the stadium with Helmets
Kesho tar 29 ni siku ya maombolezo kuwakumbuka watu wote waliouwawa na waathirika wa tar 29 Oktoba na siku zilizofuata—wengi wao wakipigania uadilifu wa bendera yetu 🇹🇿! Tutakuwepo!
Wewe tulia bana. Ungeomba radhi. Hii kujifanya eti kipindi kigumu, hivi wakati una Tweet kesho yake Mwigulu akatumia Tweet yako ulikuwa hujui tuna misiba? Ipo siku mtaongea vizuri na nani? Mimi na wewe tuliongea nini baada ya Tweet yako? Ukiendelea kurukaruka nitakupasua!
1/2
Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.
Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe
Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano????
Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake mmewahi kuona wapi? Kama sio uhuni na ushetani na kukosa utu?
Dunia ya sasa watu wana taarifa mkononi…
Mazungumzo yoyote unayofanya na Watanzania ujue sio wajinga, watafuatilia na wataringanisha taarifa hizo.
Watanzania wa sasa sio wa mwaka 47.
Nasema kwa uhakika hakuna mahali popote duniani mafuta yamefika 8,000 usd wala 6,000 Euro kwa lita.
Hakuna popote mafuta yanauzwa 400usd wala 600 Euro duniani.
USD 100 ni sawa na 260,000 Kwahiyo usd 400 ni sawa na 1,040,000.
Euro 600 ni sawa na 1,820,000
Kama ni 6,000 ni sawa na sh
18,200,000=
Kama ni usd 8,000 ni sawa na milioni 20.8 .
Lita moja ya mafuta Marekani inategemeana na state na state.
Kwa mfano Washington DC area kwa gallon 1 ambayo ina lita 3.8 ni usd 3.80 ambayo kwa pesa za Kitanzania ni 9,600, ukigawa kwa lita 3.8 ni sawa 2,526 kwa lita, ambayo hapa sisi kwa Tarime 4,020, kwa hapa Dar ni 3820.
Na kwa Marekani nzima wastani wa gallon moja ni usd 4.10.
Kwahiyo kwa wastani sana ni sh 2,600 za Kitanzania kwa lita.
Marekani ndio wako vitani na wao ndio wana uchumi mkubwa, lakini mafuta Marekani ni rahisi kwa zaidi kwa sh 1500 kwa kila lita tunayonunua huku..
Ukiwa na 10,000 ya Tanzania Marekani utanunua lita 4, na ukiwa ma hiyo hiyo hela hapa Tanzania utanunua lita 2 na point kidogo.
The longest weekend of 2026🙂↔️🤌🏾🔥
3rd April - Good Friday
4th April - Saturday
5th April - Easter Sunday
6th April - Easter Monday
7th April - Karume Day