2024 nilikuwa kitandani naangalia fainali ya UEFA kwenye simu maana umeme ulikuwa umekata! Ilikuwa Dortmund na Madrid nikapitiwa usingizi bhana
Nakuja kuamka simuoni mke wangu na watoto kumbe alikagua simu akaona vitu vya ajabu akachukua watoto na hapo ikawa mwisho wa ndoa yetu
Hivi kibongo bongo mbona sijawahi kusikia mchezaji akisema Sammata ni role model au inspiration wake wakati he’s the most decorated football player kutoka Tanzania.
Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.🙏