FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU
Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge.
Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa mbaya zaidi.
Maisha ya upweke na mateso gerezani ni magumu sana. Na Mhe Tundu Lissu anapitia hali hii ya kutengwa dunia – haoni jua wala nuru, kwa miezi 9 sasa.
Hii imeathiri hata yeye kufikia huduma za kijamii, si tu chakula, bali pia taarifa za familia yake, Chama chake CHADEMA, na hata hali ya kisiasa nchini – ikiwemo kusoma kupitia magazetu au mazungumzo na ndugu na jamaa zake.
Ili kumuunga mkono katika giza nene alilomo, tunakualika ushiriki “MASAA 48 YA FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU (Baba wa Gen Z).”
Gen Z wanafunga mwaka na Mtetezi weo, na sisi Watanzania tuungane kumtumia salamu za mwisho wa mwaka, tumtie moyo ili aanze Mwaka mpya kwa ujasiri mkubwa.
Kama ambavyo Mhe Lissu amejitoa kwaajili ya Taifa letu, tunalazimika kumkimbilia katika wakati ambao anatuhitaji zaidi.
Tuioneshe dunia maana halisi ya “NGUVU YA UMMA” kwa kuchangia chochote ulicho nacho.
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
ASANTENI SANA.
FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU
Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa mbaya zaidi.
Maisha ya upweke na mateso gerezani ni magumu sana. Na Mhe Tundu Lissu anapitia hali hii ya kutengwa dunia – haoni jua wala nuru, kwa miezi 9 sasa.
Hii imeathiri hata yeye kufikia huduma za kijamii, si tu chakula, bali pia taarifa za familia yake, Chama chake CHADEMA, na hata hali ya kisiasa nchini – ikiwemo kusoma kupitia magazetu au mazungumzo na ndugu na jamaa zake.
Wanaomshangaa Mzee warioba ni sie tuliozaliwa wakati system zimeshakuwa corrupted Enzi zao akiwa Mwanasheria mkuu miswada ya sheria yenye kukiuka haki za Binadamu walikuwa wanavimbiana na Nyerere na Sokoine, wakati huo hatujazaliwa sasa hivi anatuonesha how system should work
Msingi wa maisha yetu imejengwa katika haki na kweli kamwe hatutarudi nyuma ndugu yetu @mdudenyagali Bado Tupo tunatafuta haki yako ya kuishi na kuwa huru Kwa gharama yeyote. Ni maumivu makubwa kwetu kamwe hatutakubali
‼️Team Hakuna Kushindwa 🔥
Kwanza nawashukuru sana mlioniandikia DM na hata publicly jumbe za kunitia moyo ❤️ nashukuru mno!
Pili mi ni mzoefu wa harakati #ChangeTanzania tulianza 2012! Na sijawahi kurudi nyuma wala kubadili msimamo! Natambua kuwa kwa sasa genge la wauaji la Kizimkazi gang linaniona mi ndo adui na wamelipa machawa kuja kunitukana, kunikejeli na kunivunja moyo
Sasa nawamegea siri - I am ANTI FRAGILE
Definition of Antifragile (@nntaleb ) -
something that not only withstands stress, volatility, and disorder but actually gains strength and improves from them, unlike fragile things that break or resilient things that just bounce back
Yaani mnavyozidi kunishambulia si kwamba ninahimili bali ninaimarika na kuwa bora zaidi 😂✊🏽
Ndo maana nawakera mnataka hata kesho mniue ila Mungu amesimama 🙏🏽
Hatuwezi kurudi nyuma wala kusimama na mi nitabaki hapa front kuhamasisha! Nyie machawa kama mnataka fanyeni ushawishi ila si vitisho na matusi!
Wapendwa tutabanana hadi mwisho tukamilishe ukombozi na #TutaelewanaTu #J1
#Tumeshinda🇹🇿
Ni jambo bora zaidi kujenga mifumo ili kuweza kutawala au kuongoza kuliko kuamini katika tashi zetu. Maana binadamu siyo wakamilifu hivyo hujikwaa sana na kuharibu utaratibu
Serikali yenye mambo ya kitoto hivi itamuongoza Nani yaani unaua maelfu ya wananchi Kwa makusudi alafu unakuja na script za kitoto na kipumbavu Kama hizi soon tutawaonyesha kuwa sisi hatuna mzaha na haki zetu
X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
Kwanza wanangu Goma letu la #TEREMSHABUNDUKI pale youtube limefikisha Viewers 1M.
HAWA WATU 1M TUKIINGIA BARABARANI NCHI NZIMA 29.10 TUNACHUKUA NCHI ASUBUHI NA INAWEZEKANA.
Ndugu zangu watanzania, Roma amekuwa akitusemea changamoto zetu kwenye muziki wake kwa muda mrefu sana, na ni msanii ambaye amesimama na sisi hasa kwenye kipindi hiki cha #NRNE/#MO29/#OKTOBA29TUNATOKA !!
Nashauri tumpe maua yake kwa kushow love chochote ulichonacho!!
Buku, Laki, Milioni, Mwanetu Aokote!
Kama kifuta jasho kwa kazi kubwa anayofanya!!
Mimi kama Sativa naanza kwa kutoa Tsh. 150,000 kumsupport mwana.
Ametoa wimbo mpya #Teremshabunduki ni audio tu na inafanya vizuri sanaaaa!!
Anatakiwa kushoot video ya huo wimbo siku ya maandamano ili dunia ikashuhudie mapinduzi ya kihistoria Tanzania, na kila atakayeshiriki maandamano atakuwa kwenye kumbukumbu ya ukombozi!!
Tuko wengi na tunaweza tukiamua.
Napitisha bakuli tushow love kwa Mkatoliki.
🇹🇿
Lipa Namba: 350554642
Jina: ROMA MKATOLIKI
Mtandao: Vodacom-Mpesa
Kutoka - Mitandao yote.
🇺🇸 Cashapp 🇺🇸
$Roma2030
REPOST 500
#TEREMSHABUNDUKI
#MO29
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Power concedes nothing without a demand. It never did and it never will.
Kitendo cha hawa watu kukimbiza na kupeleka magari, hata kama ni kihuni bila mipango wala uendelevu wake.
Kinatufundisha mambo kadhaa wananchi wa Tanzania.
1. Tukiamua na tukawa na nia moja hakuna nguvu yoyote inaweza kutushinda.
2. Wananchi mkiamua kudai maisha bora, kukomesha wizi, ajira, maji, umeme, ulinzi na hata kukomesha utekaji hakuna anaeweza kuwazuia.
3. Wananchi tukiamua kudai mfumo huru wa uchaguzi na mahakama zinazotenda haki, tutafanikiwa na watawala watapiga magoti.
Tuendelee kudai Nchi yetu kwa nguvu zote kwasababu ni yetu sote, tudai haki ya maisha mazuri kwasababu dhahabu ni zetu weight, tanzanite ni yetu wote.
Hakuna anaestahili maisha mabaya na wachache maisha bora.
Tuamke.