@Sisimizi3 Ooh kumbe ni Wakristo I see!!kumbe Wakristo wana akili na wanafaa sana.
Kwa jinsi CDM inavyofanya vizuri na kupendwa nchi nzima na kama inaongozwa na Wakristo nafikiri sasa ni wakati muafaka kuwapa hata nchi waiongoze.
@Sativa255 We dogo hapo unakosea njia.
Uongozi ni muendelezo,mazingira ya wakati ule yalikuwa yanaruhusu siasa na mitazamo ya Nyerere.
Viongozi waliofuata wangefanya kuendena na mazingira ya sasa.
Hata Kenya wamepitia njia hizo mpaka kupata a true democracy and they are still struggling
@MarthaKarua Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa mama Martha Karua.Mungu akupe afya njema na maisha marefu ili upate kutimiza kusudi lako la kupigania HAKI.
@GMwangonda Gabby unafeli wapi mdogo wangu?Comparing a country estimated with 70 million population with a country less than 15 million is unfair!!!.
Ooh comeon!!a country with 950000 square kmetre of land Comparing with a 128000 km square is ridiculous!!!
@EsirEid Kama JULIUS NYERERE ,KWAME NKURUMA,PATRICE LUMUMBA,NELSON MANDELA,SAMORA MACHEL,AUGUSTINO NETO,KENETH KAUNDA,SEKOU TOURE to mention the few,wangekuwa na mawazo ya KIJINGA/KIPUMBAVU kama yako mataifa yao mpaka leo yasinge pata UHURU.
@EsirEid@Sativa255 Kwani Zambia hakuna WANYAKYUSA?๐๐
Chililabombwe,Ndola, Kitwe na Copperbelt yote wamejaa Wanyakyusa na ni Wazambia,they went to work in coppermining.
Fantastic tafiti kabla ya kuingia mzimamzima.
Anyway sipo ktk malumbano yenu.
@MsigwaPeter Wewe ni PAROT, huwa unakurupuka tu na unafikiri watu wote wako kama wewe.
Mtu muadilifu hangeweza kumg'ang'ania Lowasa.
Angalia mtandao wake toka akiwa mwenyekiti wa UVCcm.
Mnafikiri watu wote ni wa maslahi kama nyie.
Ugomvi wao ni mgongano wa maslahi tu.
Hana uzalendo wowote.
@ThabitSenior The problem with Tanzanians is they are easily taken by every wind.
Nchimbi is not as good as you want people to conceive.
He is one of them,even worse.
The battle is about rivals groups within .
Every one is fighting for their groups interest not Contry's.
@Kenyans So he is telling us that every one should wait until s/he reach his age to contest?๐๐ being a thief has nothing to do with age.
He should direct himself into competence.
@MariaSTsehai Dada Maria hiyo ni vita ya maslahi ndani ya Ccm.
No body in that party who is fighting for the well-being of this country.
Woote wana makundi yao ili WAIBE tu.
Waache WAMALIZANE WENYEWE.