Unahisi ni wapi baโmdogo alipopiga u-turn?๐ค
Je ni siku ile alipotoka Ukonga โ๏ธ
AU
Ni siku ile mlimani city?
Je, tunaweza tukasema kabla ya siku hizo, huko nyuma alikuwa mtu sahihi kabisa na aliongoza gari bus akiwa na nia ya kweli kufika Kanaan? Until alipoenda Ukonga ndio akapiga U~turn?๐ค
Au ni kwamba hata kabla ya siku hizo ni alishakuwa na makandokando huko nyuma na hakuwa na nia ya dhati?
Na kama hakuwa na nia ya dhati, alichezaje karata zake mpaka kuwa~win wote wakawa wanamuunga mkono katika familia ile ya โ๏ธ na hatukuona aliyemtilia doubt yoyote kabla!??
Doubts zilianza lini!!?
Bajeti ya CNN ya utafiti, investigative journalism, digital investigation na kuhakiki ukweli wa mambo kwa mwaka ni usd 3.9 bilioni sawa na trilioni 10 za Tanzaniaโฆ
Hii ni Bajeti karibia ya wizara 14 hapa kwetu.
Hizo pesa mkipewa mnaiba mpaka mchanganyikiwe alafu wewe Grishon unasema utawajibu!!!!
Unajibu nini sasa? Kwamba hamjaua watu?
Mungu awapumzishe watanzania wote waliopoteza maisha pumzikeni kwa amani makamanda roho yangu inaniuma sana kupoteza nguvu kazi ya taifa๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ