Nikikuwa campus second year niliwahi gongea morio wangu dem yake. Milikuwa na roomie fulani mkisii na mimi nilikuwa mluhya. Huyu jamaa alikuwa amezoea kunipigisha exile daily akileta den yake until Saturday fulani alikuwa ameenda sherehe them dem yake akakuja kumtafta. Mimi nami ni nani😂Tukaanza kuvube na huyo dem mbio mbio then dem kumpigia simu anasema ako far ikabidi nihudumie huyo dem😂Nakwambia nilitetemesha mtoto wa wenyewe karibu niharibu motherboard 😂