Hello...
Naitwa Emanuel Hezron Mtei
Ni mtengenezaji wa taa za Mapambo mbalimbali kutokana na Pvc Pipe..
Tafadhali pitia post zangu mbalimbali utajionea aina za Mapambo husika.
Namba yangu ni +255653348672
Unaweza ukapiga au WhatsApp.
Asante na Karibuni..
Natanguliza Shukrani..
π Leo ni siku ya kupumzika.
Taa nzuri huleta utulivu na mvuto hata ukiwa nyumbani tu. π‘β¨
Taa zetu za mapambo:
π‘ Zinatoa mwanga wa amani
π¨ Zinatengeneza mandhari ya furaha
π° Bei nafuu: kuanzia Tsh 30,000
π¦ Delivery popote ulipo
π Wasiliana nasi: 0653 348 672
#haighlight
π‘ Tunatengeneza taa za mapambo za kipekee, zenye mvuto wa kipekee na ubunifu wa hali ya juu!
Bei kuanzia Tsh 30,000 tu.
π Oda sasa: 0653 348 672
#LightAuraCreations#TaaZaMapambo#MwangaWaUbunifu
Asanteni kwa kila aliyechagua taa kutoka LightAura Creations π‘
Kila taa tunayotengeneza ina maana kwa mtu, na kila oda ni heshima kubwa kwetu.
Tupo kwa ajili yenu, na tunaendelea kuwasha nuru yenu! π
#TaaZaMapambo#HomeDesign#hotelroom#Zanzibar#office#restaurants
β¨ Badilisha Muonekano wa Nyumba Yako Usiku!
Taa zetu za mapambo (PVC lamps & LED warm lights) huleta mvuto wa kipekee sebuleni, chumbani au kwenye events!
π Agiza moja leo!
π WhatsApp: 0653 348 672
πTunatuma popote Tanzania πΉπΏ
#LightAuraCreations#TaaZaMapambo#HomeDecor
πͺ Giza lina nafasi yake β lakini mwangaza wa LightAura ni hadithi nyingine!
π‘ Taa za mapambo kwa chumba chako, biashara au tukio maalum
π¦ Tunauza jumla na rejareja
π WhatsApp: 0653 348 672
π Dar es Salaam
#LightAuraCreations#TaaZaMapambo#DecorLights#ElimikaWeekend