We do We Kivyetu vyetu!! ME is an ingredient, WE is a cocktail! And weβre shaking things upβ¦ More WE, More VIBES, More FAYAA, More FUN Legendary moments start with Smirnoff #IYKYK#WeDoWe#NoknownAddress#Smirnofftz
Msisimko umeanza! Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! πππ¨Huku ukiwashangilia mashujaa wako. Lakini sio tu rally β π°πͺ Kenya ina mengi zaidi! Mandhari za kuvutia, miji yenye historia na tamaduni za kipekee, na fukwe nzuri.

Mwaka 2008, Hwang Dong-hyuk alikuwa amefilisika kabisa.
Alikuwa akiishi na mama yake, akihangaika kulipa bili huku akijaribu kumudu maisha.
Hali ilikuwa ngumu kiasi kwamba alilazimika kuuza kompyuta yake ili kupata pesa za matumizi ya siku.
π§΅ Thread: β¬οΈ
Michael Jackson alikuwa na pesa nyingi sana, tena nyingi kiasi kwamba mpaka Wazungu walipagawa.
Unajua how?
Jamaa alikuwa anamiliki nusu ya Sony, kama ushawahi kusikia kundi la muziki la Uingereza liitwalo The Beatles, basi jamaa alinunua ngoma zao zote zilizokuwa Sony na kuzimiliki.
Ukiachana na hilo, pia akanunua ngoma za wasanii wengi.
Yaani Sony walikuwa wanamiliki 50% na Michael Jackson alikuwa anamiliki 50% ya Sony.
USDT rate leo ni 2600+
Hii rate hupati ukitumia Paypal wala eWallet yoyote
Download @HurupayApp leo halafu ukipokea USDT zako cashout ziende @binance fanya exchange to TZSπ«‘
Usiseme sijakwambia
#HuruPayTanzania