@RadioCitizenFM#Jambokenya@VincentAteya@MelodySinzore1
Jana tumekua na uchaguzi kwa mashabiki wetu wa Citizen TEAMMAGWIJI na hakika mtarajie mabadiliko.
Chairman_Antony Obindi
Vice Chair _Wilbroda
Secretary _Bonventure
Treasurer _Violet Karani.
Organising Sec _Osinya
Tunapata changamoto sana kwa sababu ukipata first born pia yeye ako na mzigo ya kwao na ukipata last born yeye ni ‘kababa’ kwao anabembelezwa haitishwi chochote…lakini pia inategemea umetoka familia gani: Verse Muthoni - Kifungua mimba
#GumzoLaSato@MwakaFridah@loftymatambo
@ntvkenya#GumzoLaWiki
Malimbuko ni mazao ya kwanza ya shamba au mifugo.
Kwa mfano kwa kanisa huwatunaambiwa tulete malimbuko..
Niko maeneo ya mlolongo.
Ni mzigo kuwa kifungua mimba?
Kitu ambacho hatukielewi ni kwamba nilipokubalishwa majukumu, kuna kitu walikiona kwangu kinaweza kufanywa...Unapopewa majukumu na mamako jiheshimu sana na ujikubali: Kadzo Ndhundhi - Mshauri wa familia
#GumzoLaSato@MwakaFridah@loftymatambo