@Maryian96 Formula moja yenye tulikuwa nayo since 2024, NO KANU ORPHANS. No way we starting to look back to Someone like watermelon. Yaani gen z died ndio watermelon a (gen x) atuongoze na vile akili zao ndio zimeweka hii mess yote iko Kenya?. Sifuna/Maraga/Omtatah. Kama tuko serious.
''Eugene Wamalwa kuja uzungumze na ukubali ya kwamba uko nyuma ya Sifuna akuwe Rais 2027,'' Drama as Senator Khalwale orders Eugene Wamalwa at his wife's Burial. Eugene Wamalwa refused to speak.
Huyu anasema babu Owino real name ni patelo?๐, alafu ujue Mosoria ni fala, anasema ndio maana hajawai acha tuone nywele yake, ati hio kipara yake si ya uzee๐คฃnikuficha uficha nywele ya kihindi๐คฃ๐คฃ..Nilikuwa nimeisha...