Jacob Zuma @Rais mstaafu wa Africa Kusini naona akiwa kwenye happy na familia yake
Retired South African President Jacob Zuma dances and has fun with his family
Wachaga mmetisha kabichi la mia linaliwa siku sitaππ, Wapare nmejikuta nawaogopa bureeeee, Eti ukioa Mnyaturu utalishwa #Punda mpaka kufarikiπͺ.Ndugu zangu wasambaa nyie kiboko mnaleta ndugu mpaka nafasi ya kubadilishia nguo inakosekana hii balaa itakuwa ndugu au ukooπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Nimekutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China wanaofanya biashara zao Tanzania. Wameahidi kuongeza biashara na uwekezaji na kuleta teknolojia na ujuzi kwa Watanzania. Nimewahakikishia ushirikiano kutoka Serikalini.
Inasikitisha sana kuona watu wanapiga ngoma mitandaoni lakin ngoma ile inachezwa Bungeni β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Mimi na hayati Magufuli ni kitu kimoja
β¦β¦Nimekuwa nikifuatilia mijadala yenu Bungeni ni mijadala ambayo haina afya kwa taifa letuβ¦β¦β¦β¦
Leo hii katika Kongamano maalum lililoandaliwa na viongozi mbalimbali wa dini, lkatika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma, likiwa na lengo la Kumuombea hayati Dkt John pombe Magufuli, @Nimekoshwa sana na hotuba ya Askofu huyu mkuu wa Kanisa ya pentecostal, #ASKOFUKONKI.