Be proud of how you handled 2023..Dear, Sis & Bru. The silent battles you fought🥹, the setbacks you overcome 💔 the dark days when you have to wipe your own tears 🚮and pat yourself on the back.
Celebrate that.🦋
#daysbefore2024#2024Predictions#welcome🎉
MITIHANI (6) MIGUMU YA MAISHA:
•Wanaume: wakati mke wake anapopata ugonjwa,
•Mwanamke: wakati mume anapopoteza pesa,
•Watoto: wakati wazazi wao wanazeeka,
•Marafiki: wakati uko kwenye matatizo,
•Ndugu: kugawana mali za urithi,
•Familia: kuishi katika nchi ya kigeni.