Naishukuru Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na michezo chini ya Mhe Inocent Lugha Bashungwa na Katibu mkuu wake Dkt Hassan Abas na Rais wa Filamu nchini Ndg Mjata na Mkurugenzi mtendaji Wake Dkt Kilonzo Kwa kunikabidhi Tuzo ya Heshima ya kuandaa Tukio la Tarehe 18/12/2021
RC Homera azindua mradi wa maji kijiji cha Mchakamchaka kata ya mpanda ndogo wilayani Tanganyika mkoani Katavi
Aidha wananchi wa kijiji hicho wamefurahia mradi huo wenye thamani ya Tsh Milion 121 ambao unawanufaisha zaidi ya wakazi 4000 ,Hata hivyo wananchi wameishukuru serikali
Tunaendelea kuujenga mkoa wa Katavi sasa zamu ya kuwakaribisha Bank ya NBC mkoani Katavi.Hongera sana Mkurugenzi mtendaji wa Bank ndg Teobald Sabi kwa kufungua Wakala Plus mkoani katavi na kuanza ujenzi wa Tawi mkoani Hapa.Tukutane site ,Tukutane kazini #Kazi inaendelea.
Tunaendelea kuujenga mkoa wa Katavi sasa zamu ya kuwakaribisha Bank ya NBC mkoani Katavi.Hongera sana Mkurugenzi mtendaji wa Bank ndg Teobald Sabi kwa kufungua Wakala Plus mkoani katavi na kuanza ujenzi wa Tawi mkoani Hapa.Tukutane site ,Tukutane kazini #Kazi inaendelea.
Tuwapiganie walimu wetu wapate stahiki zao kwa wakati na Ushirikiano imara kutoka kwa waratibu na watendaji lengo tutatoka no 4 kitaifa STD 7 mpaka no 1 Inshaalah,Na sekondari kuwa 10 Bora kitaifa ,nimeamuru kutoka mapato ya fedha za maendeleo zinazotokana na mazao ya biadhara
Pongezi nyingi sana kwa Wakurugenzi wangu(DED) na Wakuu wa Wilaya (DC) Mkoani Katavi kwa kuto kupata Hati Mbaya wala Hati yenye Shaka kutokana na ukaguzi wa CAG nawasihi tusirudi nyuma mapambano yaendeleee! Katavi Bila Hati Mbaya inawezekana! TUKUTANE SITE TUKUTANE KAZINI!
Mhe Rais Magufuli wakati anaingia madarakani Barabara za Mji wa Mpanda zilikuwa za vumbi lakini, ndani ya miaka 5 aliyoongoza nchi tayari tuna barabara za rami zaidi ya KM 10 na Taa za barabarani wana Mpanda-Katavi wameamua Oct 28 kura za kishindo kwa JPM.
Ahsanteni wana Katavi kwa kuchapa kazi kwa Bidiii nawapenda sana Tuko pamoja yeyote mwenye changamoto ya kibiashara au sekta yeyote anicheki moja Kwa moja Kwa simu yangu hii ni serikali ya Kazi tu!
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Comred Juma Zuberi Homera ametembelea wilaya ya mlele kata ya Inyonga, Kamsisi, Mapili na kuongea na Wafugaji Pia aligawa vitalu 6 vyenye zaidi ya Hekari 24,000 kwaajili ya wafugaji 270, Aidha wafugaji hao wanapaswa kuhamia haraka iwezekanavyo kwenye Ran