@OSicheri Mifuko mbadala IPO ndugu ...hats viwanda vya mifuko ya plastic wapo kwenye transaction ya kutumia baadhi ya machine zao kuzalisha mifuko mbadala ya karatasi na plastic inayooza...
Mifuko ya plastics inachukua takribani miaka 500 hadi 1000 kuoza,hivyo basi jiulize mifuko yotee uliyowahi kutumia bado IPO kwenye mazingira yetu...jifunze kutumia tena(reuse) na kuacha matumizi ya plastic yasiyo ya lazima...pia serikali tunaendelea kupaza sauti wazue uzalishaji
Nawashukuru sana watanzania wenzangu kwa salamu za pongezi. Habari hii kwangu na wenzangu kupitia shirika ninaloliongoza imetupa hamasa zaidi ya kuongeza nguvu kwenye kufanyia kazi masuala ya wasichana.Namshukuru Mungu,hakika si kwa uwezo wangu bali ni kwa yeye anitiaye nguvu.