@MsinguziEthan@thomasjkibwana Kila rais atakusanya fedha nyingi kuliko aliyemtangulia kwa sababu kila rais anakuta msingi mkubwa kuliko alioukuta mtangulizi wake. Njia bora ya kuwalinganisha ni kutumia asilimia ya ukuaji. Kama unataka namba ghafi, basi Samia ndio rais bora wa muda wote.
@MsinguziEthan@thomasjkibwana Angalia vizuri data za Jakaya. Aliongeza kodi by 170% awamu ya kwanza, na 135% awamu ya pili. Mpaka anaondoka madarakani anakusanya kodi mara tano ya alivyokuta. JPM aliongeza kodi by 35% tu awamu yake ya kwanza pamoja na ubabe wake wote.
@rasul__12@Albertowilbroad Sanaa! Wachache niliowaona mchangani aisee wanaubonda sana. Sema kwenye ligi kila mtu anajua, sio rahisi kuflow kama mtaani.
@VungaEl74 Katika sehemu zina-make sense kuweka running track, Arusha ni moja wapo. Ndio sehemu ambayo hiyo track itatumika maana wanariadha wetu wengi wanatokea Arusha na mikoa ya jirani.
@HarryGodfirst Itakuwa kweli maana ukiangalia crisis zote ambazo zilikuwa zinahitaji political solutions kama MO29, NRNE, zimekuwa solved kipolisi/kijasusi.
@barakawamb Nchimbi, Mipango, Ndugai, Majaliwa, Biteko, Tulia, Kinana, inakuwaje hawezi kufanya kazi na kila mtu?
Kwa nini kila siku wasaidizi wanamzidi umaarufu?
@Barongo01 Watu wa ufafanuzi hawaulizwi maswali magumu huku walipoweka mazingira ya kuogopwa. Wakikutana na wasiowaogopa wanapigwa na butwaa wanatamani wangempiga biti ndugu mwandishi lakini ndio hivyo tena hawana la kufanyaπ
Waiweke UDOM CIVE sababu tayari kuna potential na kazi kubwa au UDSM CoICT sababu ya proximity to COSTECH, hubs zao, na other tech businesses.
Wasije wakaifanya sehemu ambapo tunaanza moja na hamna synergy na parts nyingine za tech.
Watu design ya Manara ndio wameshika hatamu. Akisha-panic kama hivi anakuteka anaanza kukuuliza 'umetumwa na nani?'
As if people can't think for themselves these days..
Wakulaimiwa ni serikali ndio imefanya mambo yawe hivi na watu waonewe na waone wanakosa haki zao,
Oscar amemshambulia Manara baada ya kuonekana anaitetea serikali kuhusu matukio yanayoendelea nchini na hasa Dar es salaam.
Je Una Maoni Gani Juu Ya Mvutano Huu #taarifa_24
@EngThomasMinja Sijui, nimefanya assumptions tu hapo. TANESCO ndio wanaweza kukujibu hilo kwa uhakika.
Wakikamilisha hizo line kubwa za gridi, pengine wanaweza kuamua kuzima mitambo mingine yote wawashe JNHPP at full capacity, ambayo haipishani sana na peak demand yetu.
Ukichukua bei ya umeme ya sh357/Kwh, transmission losses za 20%, na bwana likaoperate kwa asilimia 100%, kwa mwaka bwana litaingiza ( 357Γ2115Γ1000Γ24Γ365Γ0.8)=5,291,425,440,000/=
Hizo ni trillion 5.29 kwa mwaka. Bado tunauliza faida ya mradi?
TSh trilioni 7.45 ni fedha inayoweza kujenga zaidi ya madarasa 370,000 kwa gharama ya TSh milioni 20 kwa darasa. Hii inaonyesha ukubwa wa uwekezaji, ndiyo maana tunapaswa kuuliza pia faida ya muda mrefu ya mradi huu kwa Taifa.
Tuseme pesa ndio mafanikio.
Ukiacha la saba outliers, median income ya degree holder na darasa la saba zinafanana?
Huyu sijui ni msomi wa wapi anashtushwa na headline story za mtu kauma mbwa anashindwa kuwa critical akajua mbwa kuuma mtu ni common zaidi lakini sio headline.
Risk ya ufugaji ni kubwa, utahitaji mtaji zaidi wa kuanzisha hiyo biashara na operations za mwanzo kabla hujaanza kuuza, utahitaji suspend muda mwingi kwenye huo ufugaji au uajiri mtu ambaye utamlipa akutunzie hao kuku.
Hesabu yake sio rahisi kihivyo, japo kodi ya 30k nayo...π
"Una Mpangaji umempangisha, mandaiana Kodi ya Shilingi Elfu Thelathini, Toa Mpangaji weka Kuku. Huyu Moangaji kwa mwaka laki tatu na elfu sitini. Weka Kuku 100, baada ya miezi sita utatoa Trei tatu za Mayai, shilingi elfu thelathini kwa siku, shilingi laki tisa kwa mwezi, Milioni kumi na moja kwa mwaka. Baada ya Mwaka na nusu unahama unaweka kuku mia tano. Tusifanye biashara za kukaririshana, nyumba nyumba nyumba" - RC Mtaka.
RC Antony Mtaka Akizungumza mjini Njombe wakati wa hafla ya ugawaji wa tuzo kwa makundi mbalimbali kupitia Njombe Smart Talent Awards, zilizoandaliwa kwa ushirikiano na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, RC Mtaka alisema ufugaji wa kuku unaweza kuwa uwekezaji wenye faida kuliko kutegemea mapato madogo ya kodi za nyumba.
Je upi mtazamo wako kwenye hili?