We were honored to host an insightful study visit from the brilliant Form Five and Form Six students of the School of St. Jude, Arusha. This educational trip provided the students with a valuable opportunity to gain practical knowledge and engage in meaningful discussions.
Tatizo la Shinikizo la Damu juu
🫀 Shinikizo la juu la damu linaweza kuharibu moyo, figo, ubongo na mishipa ya damu.
🩺 Pima presha ili kugundua na kudhibiti mapema.
🥗 Kula Lishe sahihi yenye afya yenye kiwango kidogo cha chumvi na mafuta
🏃♂️ Fanya Mazoezi, acha sigara.
Tatizo la Shinikizo la Damu juu
🫀 Shinikizo la juu la damu linaweza kuharibu moyo, figo, ubongo na mishipa ya damu.
🩺 Pima presha ili kugundua na kudhibiti mapema.
🥗 Kula Lishe sahihi yenye afya yenye kiwango kidogo cha chumvi na mafuta
🏃♂️ Fanya Mazoezi, acha sigara.
Je, una mtoto mwenye tatizo la mdomo wazi? 👶🏾
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga inakukaribisha umlete kwa matibabu bila malipo. 🚑❤️
#MtuNiAfya 💪🏾 #SmileTrain 😊 #MuhimbiliHospital 🏥
Mama mjamzito anayevuta sigara au shisha ana uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto mwenye mapafu madogo na pumu. 🤰🚭
Athari hiyo pia ipo kama mjamzito akivuta moshi kutoka kwa mtu wa pembeni. 🌬️
Mjamzito epuka sigara au shisha; vilevile usivute sigara kando ya mjamzito. 🚫🚬
Wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama duniani huadhimishwa tarehe 1-7 Agosti kila mwaka.
Maziwa ya mama ni muhimu kwa sababu:
•humpa mtoto lishe kamili
•humkinga mtoto na magonjwa
#WorldBreastfeedingWeek2024
@Kcmc1971 Hongera sana KCMC Team ni Hatua Muhimu sana Kwa maendeleo ya Hospital na wananchi Kwa Ujumla . Ni Jambo lakuigwa kwa Hospital nyingine kuanza kuwekeza na kuwaza namna nzuri Taasisi hii inayokuja itafanya kazi na Peripheral Hospital. Mungu akasimamie Hili iwe mbegu itakayo ota.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke (Temeke RRH)inakuwa Hospitali ya Pili nchini ya Rufaa ya Mkoa kupokea Mashine ya kisasa ya 3D CONE BEAM COMPUTED TOMOGRAPHY (3D-CBCT). Serikali ya awamu ya sita ya @SuluhuSamia imedhamiria kwa dhati kuborsha HUDUMA ZA KINYWA NA MENO nchini