๐จ OFFICIAL & CONFIRMED โ
Jonathan Sowah ๐ฌ๐ญ ametangazwa kuwa mshambuliaji wa Singida Black Stars ๐น๐ฟ
Sowah amerejea kwenye timu iliyomleta Tanzania ๐น๐ฟ
@privaldinho Kitu tuna furah kumbe una angalia mechi zao ,na unajikuta kila siku unaisemea timu nyingine kuliko ile unayo fanyia kazi haya sio mapenzi ni mahaba ,kubadilisha timu uzeeni kazi sana aisee
@privaldinho Wanawake wana vumilia mengi sana aisee imagine eti hata huyu priva ana mke duuh ,huu ni uanaume wa wapii ,chuki na roho mbaya zina mfanya hata afya inakua mbovu duuh shem vumilia tuu ila hapa umepigwaa
@Geoffrey87Lea Tuna hitaji kufuzu mara kwa mara ili kutengeneza strength ๐ช ya timu mana tz hakuna mfumo sahihi wa kujenga timu kaka sisi tuna hitaji kufuzu tuu kwa njia yyte ili mradi twende Afcon ,rejea nyuma kidgo iko wap serngt boys ya kina Kevin John mkuu
@mshambuliaji Ili mchakato ukisha kamilika awe anaendeleza sio kuanza moja Sasa kama mo anatoa hela za msaada wao kama wajumbe wametoa nn mana huo huo msaada anao toa Mo ndo wanalipwa wao viongozi halaf ni msaada upi ambao hauna matarajio mbele wajiuzulu bhna wapigaj tu hao
@mshambuliaji Sasa kama huyu ana CPA kabisa anaongea upuuzi kama huu kweli wasomi tunaonekana hatuna akilii kabisaa ,kwa akili ya kawaida tuu kwahyo wakati mo anasubir transformation ikamilike kumbe alipaswa kutotoa chochote sio mtu ana andaa mazingira ya kuifanya kazi yake kwa urahis