Usitumie Dawa hii kabla Haujasoma Elimu hii, Ni hatari kwa Afya yako....
Jina AZUMA Nijina la kibiashara kitaalamu dawa hiyo hujulikana kama (Azithromycin).
Hutumika katika kutibu magonjwa mbalimbali yanayo sababishwa na bacteria infection kama....
1. Maambukizi katika mfumo wa hewa.
2. Maambukizi katika mfumo mkojo.
3. Maambukizi ya ngozi, Masikio na Pua.
4. Magonjwa ya zinaa kama (Gonorrhea na Klamidia).
Stop usitumie dawa hii pasipo kuandikiwa na dakitari. watu wengi wanajinunulia dawa hii nakuitumia ovyo..
NB: Nihatari kwa afya yako kwani ukipata usugu wa vimelea dhidi ya dawa....
Itakuchukua mda sana kupona na Kupelekea madhara katika organs za mwili wako kama Figo na Ini.
....Kamilisha dose kamili ya dawa yeyote kama ulivyo elekezwa na dakitari wako, Ili kuzuia usugu wa vimelea
Usijisahau jali Afya yako, Uzembe wako sasa matokeo yake badae..
Mimi situmi dawa pasipo andikiwa na dakitari, situmii dawa bila vipimo....situmii dawa OVYO...
WEWE JE...??🤨
Maisha kwa wanaume yana mafumbo sana unapambana unapata magari makali, nyumba kali, mke mkali.
Siku isiyo na jina wala taarifa unafariki ghafla tu na kuviacha vyote kuanzia nyumba, magari,watoto na mke.
Maajabu ni kwamba ukiwa haupo duniani na hujui yanayoendelea huku nyuma unashangaa mali zako zinaleta ugomvi watu waliokuwa wamekaa tu wanapambana wachukue jitihada zako zote.
Mke wako nae anaolewa na mtu mwingine na huenda wakaishi kwenye hiyo nyumba yako kali💔
NB:Hatutishani mapambano yaendelee ila ni moja ya ukweli mchungu kuhusu maisha📌
"Atakayekufaa kesho si lazima awe nacho cha kukufaa leo. Yule atakayekuwa wa msaada kwako baadae wakati mwingine huja kwako kama mhitaji wa leo." ~Togolani Mavura.
Wananchi wanaendelea kutembelea banda la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Katika banda la MUHAS, wageni wanapata elimu ya afya, ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa fani mbalimbali, pamoja na kujifunza kuhusu programu za masomo, tafiti na ubunifu unaotekelezwa na Chuo katika kuboresha huduma za afya nchini.
Iwapo bado hujafika, huu ndio wakati wako. Tembelea Banda la MUHAS na ujionee teknolojia, tafiti na huduma mbalimbali zinazoboresha afya za Watanzania.
#MUHAS
#Sabasaba2026
Kwa masikitiko makubwa tumempoteza mpendwa wetu, aliekua Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama Cha Madaktari Tanzania, Dr. Mukiza Ngemera.
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema.
Bwana ametoa, na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe!
Madaktari na watu wa afya wengi huwa wamechagua kunyamaza ingawa wanapitia changamoto nyingi sana kuanzia ajira, mishahara na miundombinu ya kazi, hutumia akili na njia mbadala nyingi zinazokubalika ili mgonjwa apone. HERI YA SIKU YA DAKTARI DUNIANI🙏🏿
Big up kwa WADADA wote wanaopambania ugali kwa jasho lao,big up kwa mabinti wote wanaotafuta kipato chao cha halali,Big up kwa madada wote waliobeba nafasi ya baba.
Wanaopambania kipato sababu ya wadogo zao,Mama zao na familia zao kwakuwa tu kwa familia hakuna wa kuchukua jukumu
USHAURI BORA KABISA KUTOKA KWA PROFESA ASSAD
Msisahau kupima H.Pylori ,dundumio ,mafuta ,sukari,brusela 🧫. Haya matatizo ni balaa jipya mjini 🏙️⚠️.
Credit: Cloudsmedia @cloudstv
#doktamathew 👨⚕️ #fyp#highlights#viral 🔥📈
Chama cha Wanafunzi Wafamasia Tanzania (TAPSA), wanafanya Mkutano Mkuu na Kongamano la 17 la Kisayansi (17th TAPSA Annual Scientific Conference & Annual General Meeting (ASC & AGM), pamoja na Kambi ya 3 ya Mafunzo kwa Wakufunzi ya IPSF Africa Region (3rd IPSF AFRO
Digital Era in Medicine: Transforming Healthcare Towards Vision 2050
Dr. Mpoki Ulisubisya breaking down how tech, data, and innovation will reshape care delivery as we move toward 2050.
#NMC2026#ForHealthAndProfessionalism
"As we discuss The Healthcare We Want by 2050 and beyond, it’s important to ask how we can keep people from getting sick in the first place — including from all preventable diseases and NCDs.”
~ Prof. Seif Shekalaghe
#NMC2026#ForHealthAndProfessionalism
#Repost @taphata1999 with @use.repost
Wateknolojia Dawa Kituo cha Afya Chalinze wameshiriki maadhimisho ya wiki ya famasi kwa kutoa misaada mbali mbali kwa wagonjwa waliolazwa wodi ya wazazi katika kituo hicho
Famasi Wiki Chalinze🔥
Kauli mbiu ikiwa; Famasi ufunguo wa maono 2050
KIGOMA REGIONAL ADMINISTRATIVE SECRETARY COMMENDS PROGRESS OF MUHAS KIGOMA CAMPUS CONSTRUCTION
The Kigoma Regional Administrative Secretary (RAS), Hon. CPSP Hassan A. Rugwa,has expressed satisfaction with the progress of the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Kigoma Campus construction project during a site visit conducted on 8 June 2026.
The delegation, comprising regional officials, engineers, and journalists, was received by the Project Manager for the MUHAS Kigoma Campus construction project, Eng. Ibrahim Muhsini Mvumbo, who briefed the visitors on the project's implementation and current progress.
The delegation toured several ongoing construction sites, including the Anatomy Building, Multi-User Building, Cafeteria, Hostels, and Academic Block. During the visit, project stakeholders provided updates on construction milestones and plans for project completion.
Speaking during the visit, Hon. Rugwa commended the efforts of the project team and University administration in advancing the project. He emphasized the importance of completing the campus on schedule to facilitate the planned admission of students and contribute to the region’s educational development.
The RAS also encouraged the University to engage stakeholders such as the National Housing Corporation (NHC) and the National Social Security Fund (NSSF) to support the development of additional hostels and staff housing to meet future demand.
Addressing concerns raised by journalists regarding accessibility to the campus, project officials noted that both TANROADS and TARURA have initiated plans for the design of the road connecting Ujiji to the campus site.
Hon. Rugwa thanked the Government of Tanzania under the leadership of Samia Suluhu Hassan for financing the project and reiterated the regional administration’s commitment to supporting its successful completion.
The visit concluded with a renewed commitment from all stakeholders to ensure the project is completed as planned and ready to receive its first cohort of students.