Katika session yangu ya mwisho wa mwezi huu, natambulisha kipengele cha hot seat, yaani🪑🔥.
Atakaye host session hiyo na kunikaanga kwa maswali🤣, si mwingine, ni mtayarisha filamu, mdau wa entertainment na teknolojia, @WillyNkya.
Usikose kufuatilia hii leo saa 1:00 usiku.
Ni msimu wa tatu wa live sessions zangu za mwisho wa mwezi. Msimu huu mambo yatakuwa kivingine kabisa.
Unataka kujua ni nini kitajiri? Usiache kuungana nami Jumamosi Julai 2 kunzia saa 1:00 Usiku.
#BaruaYaMapenziEP link kwenye bio.
Zawadi ya mwisho wa mwezi kwa marafiki wa muziki.
Jumamosi Mei 28, kuanzia saa 1:00 jioni nitatumbuiza live kupitia ukurasa wangu wa Instagram, mengi yatakuwa surprise kwako lakini nakuahidi itakuwa suprise murua.
Mshirikishe rafiki wa muziki mwambie mambo mazuri iko huku 😊
Happy Women’s Day kwa wanawake wote.
‘Charlie’ nilikupa Asilimia 100, ulikuwa zaidi ya Oksijeni kwangu hata kama ulinifuta kwangu bado Upo Moyoni ukiipata Barua ya Mapenzi tafadhali nakuomba Rudi.
Kama unamjua ‘mtag’ 🙂
#BaruaYaMapenziEP
Interview yangu ya leo na @kissfmtanzania ni ya kwanza tangu kuachia rasmi #BaruaYaMapenziEP.
Kama hukupata nafasi ya kusikiliza live unaweza kwenda kwenye YouTube channel yao na kusikiliza.
Endelea kupata muziki mzuri.
👉🏿 https://t.co/AhhqiFyFC0
Tupatane leo Jumapili kuanzia saa 5:00 Asubuhi - 8:00 Mchana kupitia Kiss FM 📻
Tutapiga story kuhusu safari yangu ya muziki na kufanya mapitio ya nyimbo zilizopo kwenye #BaruaYaMapenziEP.
Comment wimbo ambao unapenda nianze nao kesho 😊
Nawashukuru sana wote mnaoendelea kuniunga mkono kwa kusikiliza #BaruaYaMapenziEP.
Endelea kusikiliza na kushare na marafiki kwenye platforms zote.
Link https://t.co/AhhqiFyFC0