Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Leo 27.6.2026 nitimiza miaka miwili tangu niokotwe kwenye MBUGA YA KATAVI nikiwa na Majeraha ya KUPIGWA RISASI YA KICHWA baada ya KUTEKWA na jeshi la polisi @tanpol 23.06.2024
F1 : huu ndio muonekano wa mahali nilipopatikana ndani ya MBUGA YA KATAVI, eneo hilo ni BOMA la simba, nilikaa hapo nikiwa navuja DAMU kwa zaidi ya dakika 5 mpaka nilipopata msaada wa kibinadamu.
MUNGU akinipa maisha marefu hili eneo nitakuja kulitembelea kama sehemu ya kuutukuza ukuu wake kwa UKUU alionitendea kwenye maisha yangu na familia yangu.
F2 : Hapo nikiwa na majeraha ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kwa mara ya kwanza kuonekana tena mbele ya macho ya watu, baada ya kutafutwa kwa siku 4. Uso ulivimba na kujawa damu kwasababu ya majeraha ya kupigwa RISASI YA KICHWA na watekaji (JESHI LA POLISI TANZANIA).
F3 : Hilo eneo ni mto wenye MAMBA NA VIBOKO na hao ni MAMBA ndio walitakiwa kuula mwili wangu baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA. MUNGU aliwafunga vinywa hao MAMBA NA VIBOKO nikatoka eneo hili nikiwa salama mpaka pale F1 kupata msaada wa kibinadamu.
F4 : Baada ya kupata huduma ya kwanza hospitali ya WILAYA MPIMBWE nilipelekwa hospitali kubwa ya rufaa MPANDA na hapo ni baada ya kupokelewa saa mbili usiku nikiwa nimeshonwa ENEO AMBALO RISASI ILIPITA KICHWANI.
Haya yote yalifanyika kwangu tarehe hii ni neema tuu, wapo ndugu zetu wengi wanatekwa na hawapatikani, mimi ilikuwa ni neema namshukuru MUNGU.
Haya hayatakiwi kuwa maisha ya watanzania, MUNGU hakutuleta duniani ili tuishi kisha tupotezwe na ndugu wabaki na maswali ya milele tupo wapi? na mwisho waishie kuzika NGUO zetu.
Nitaendelea kusimama mstari wa mbele kukataa UTEKAJI NA KUKEMEA UTEKAJI KWA LUGHA YEYOTE ILE ambayo mimi nitaona inafaa.
MWISHO NI KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE HII SIKU ILIKUWA KAMA SIKU YA MSIBA—MLISIMAMA NA MIMI NA MMEENDELEA KUSIMAMA NA MIMI KUPIGANIA HAKI ZANGU KWA MIAKA YOTE HII MIWILI.
BADO SIJAPATA HAKI YEYOTE ILE ILA NAAMINI NITAIPATA—KAMA NILIVYOSHINDA KIFO KWENYE MBUGA YENYE WANYAMA WAKALI NA MTO WENYE MAMBA NA VIBOKO BAADA YA KUPIGWA RISASI YA KICHWA, BASI HAKI YANGU PIA INAKUJA NI SUALA LA MUDA TUU.
SATIVA (The Walking DEAD).
Pumzika kwa amani Mzee Pandisha. Umetuachia pengo kubwa ambalo halitazibika, lakini tutayaenzi mema yako yote na busara ulizotushirikisha. Mwenyezi Mungu akupokee kwa amani. 🙏🏾😔
Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.🙏
Aliyelipa Tsh 20,000,000/=
Utapokea bidhaa zako Jumamosi inshallah
Pesa nimepokea BUI FAST CARGO
Shukran sana 🙏
MUDI LOGISTICS ✈️
Dubai to Dar es Salaam
Naonekana humu X,
Ila huyu mwamba ndio alifanya nikajiunga na huu mtandao.
Back in days nilikuwa naelezea kuhus tech
Boss hana baya 😂😂
Hii video atashangaa bado nnayo