Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama.
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television.
Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo.
Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua.
REPOST 200
@swahilitimes Takwimu za kisiasa na umbea umbea tuu butiama tu kwa nyerere hapo jirani na manispaa nyankanga hakuna maji na wako na ziwa sembuse hukoo ndani ndani meatuu nzegaa kiteto hukooo simanjiro ndani ndani nani anatusemea sasa
@HildaNewton21 Ukiangalia yale maandamano ya yombo dovya na hata tofauti ni mavazi tu ila wajumbe na ujumbe mhh mungu ndie ajuae maneno mengi sipendelei
Unafunga comments kwanini? Ndani ya Chadema ni damu kiasi gani iliyomwagika. Wewe uliweka matako pale kinondoni na umalaya kibao leo unanishambulia kwa sababu ya Mbowe ni msemaji wake au msemaji wa Chauma? Au labda houseboy wake?