Watoto wa Mzee Joseph Warioba, sijui kama wanatambua baraka kubwa waliyo nayo. Kuwa na baba mzuri, mwema, na mwenye uadilifu wa moyo ni neema adimu sana. Katika Dunia ya leo ambako watu wengi wanathamini vitu kuliko utu, kuwa na baba wa namna ya Mzee Warioba ni jambo la kujivunia na la kushukuru kwa Mungu kila siku. Nasisitiza kwa dhati kabisa ya moyo wangu , nyie watoto wa Mzee Warioba mna baba mzuri sana. Mlindeni , mpendeni Baba yenu kwa gharama kubwa sana.
Leo ni either Nigeria ashinde au Tanzania Afungwe hakuna matokeo mengine...... Mungu ibariki Nigeria Mungu ibariki Africa.๐ณ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐ฅ๐ฅ
Nimeshaamua na msimamo wangu uko solid: Nitasimama na CHADEMA siku zote mpaka kieleweke! โ๐พ๐ฅ We ain't dummies na hatunyamazi tena. NO CAP! โ๐พ
Samia ameniblock. Kwa hiyo apate huu ujumbe kupitia Ikulu. Kumwita Judge Warioba Ikulu ilikuwa ni photo op na Samia kutaka kutudanganya kuwa Judge Warioba anamkubali. Judge Warioba amemsuta Samia. Hakubaliani na uchaguzi/mauwaji. Mafwele akamteke. ๐ฎ๐ฉ @ikulumawasliano@tanpol
Mauaji ya Oktoba 29 ni usaliti wa Social Contract. Kutumia dola kulinda maslahi ya mtu mmoja dhidi ya madai ya Kikatiba ni kugeuza ulinzi kuwa ukandamizaji. Taifa haliwezi kustawi kwa kuzika walinzi wa haki ili kuratibu utawala wa kimabavu. Haki ni hitaji la lazima, si hisani!