Hii podcast regardless wewe ni nani na unafanya nini,
ukiiangalia utajifunza vitu vikubwa sana, vitu ambavyo huwezi kujifunza sehemu nyingine yoyote
👇👇
https://t.co/LKljqrgDWn
Tosheka na nafasi ambayo watu wanakuweka katika maisha yao. Usilazimishe umuhimu kwa mtu yeyote. Ukiona hupewi heshima au umuhimu unaoona unastahili tulizana au ondoka kwenye maisha ya huyo mtu. Sio vyema kulazimisha kukubalika.
Documentary inaanzia Jitegemee Sec School ✍🏽 Kwa wale waliobahatika kusoma Jitegemee chini ya Head master Col Fabian Massawe ,kipindi chake vibaji vingi vilionekana.Yaani kila mwanafunzi alipewa nafasi ya kuonyesha kipaji chake na MİMİ nikiwa mmoja wapo nilishikiti Fashion Shows
Tule madini kidogo kuhusu Hisa:Ni uwekezaji ambao unaikopesha kampuni mtaji wa kuwekeza kwenye mambo mbalimbali ya muendelezo wa kampuni hiyo.
Hapa unanua vipande vya hisa unakuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa kampuni.
Mfano hisa za @CRDBBankPlc#SwahibaLanguLako
Unatoka zako mishemishe, hauna haja ya kununua viazi uanze kumenya, ukatekate halafu ukaange chips, @esponsioro karahisisha kazi, ni wewe tu kukaanga😋
Nice idea 🙌