Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuokoa maisha yangu. Pamoja na kupitia kipindi kigumu lakini daima amesimama upande wangu. Marafiki zangu, napenda kuwashukuru wote kwa maombi yenu na kunitakia kheri. Mungu awazidishie kwa wema wenu. Baraka za Mungu ziwe nanyi leo na daima.
Bei za Hisa hazipandi/kuongezeka kama dharura au Ajali, kuna sababu za Msingi ambazo upelekea. Kama Ubora wa kampuni husika, Kuongezeka gawio kwa wanahisa na ikiwa mashirika na taasisi kubwa kununua hisa kwa wingi n.k
Kupata mafunzo na Uchambuzi
https://t.co/D1fDEc7vpD